Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.

Lol hii nimeelewa sana.
 
Shida sio kujiamini, ni kipi kitakachokufanya ujiamini??...that's the point...Kijana wa kiume/Mwanaume focus kwenye kutengeneza maisha yako Swala la kujiamini lipo tu once you have something, mambo ya Zari la mentali siku hizi hamna, mapenzi ya ujanja ujanja, uwongo mwingi, Umarioo yamepitwa na wakati na ni kujizalilisha tu....and trust me utafanikiwa kuwin mwanzo but at the end of the day tegemea kuchokwa tu.
True
 
Back
Top Bottom