Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

upo sawa chief...lkn hilo la kwenda kwa mwanamke ukiSeek her sympath and pity ni kujishushia hadhi ya uanaume,

Wanawake mara nyingi ndio wanatumia hiyo technique, mwanaume ni mwanaume tu asee hata kama ni konda wa daladala ukimfata kiume lazima akuelewe hata kama hatokubali.
I agree mkuu
 
Kuna siku za PM mpk unajuta ila kuna moja nillijibu hyo ndo potential yaani I don't regret kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] and I don't why nillijibu maana hua sijibu may be approach aliyotumia kuniingia ilikua nzuri
Inatokea tu. Mi najibu nikijisikia hasa mtu akija vizuri na nakua namwangalia hata jukwaani anaandikaje. Kujibu pm au kuendelea kuongea na mtu nje ya hapo si vibaya kama hutumiki kimwili au kiakili.
 
Mzigua mama kujishtukia muhimu ujue.. Kuna mtu unamuona kabisa oh my gosh this man/ woman lol [emoji39] [emoji39] [emoji39]


Cc Smart911
Usishtuke sana mpenz kwa miandiko ya humu. Wengi tuko kinyume na maandiko yetu ya kuponda au kusifia.
 
Hahaha... hujawahi kua mshamba mahondaw wangu...

Sometimes ni vile tu nikijumuika na wewe na rafiki zangu wengine...

Hahaha ati unaniulizaga... Smart911 hapa kweli hujakula hata demu mmoja kweli... daah jinsi walivyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naulizwaga na mimi hivi kweli hawa wamekuacha kweli? Maana siamini kama hawajakupitia na walivyo mafisi
 
hahahaha wewe chagua lako ila if iwas a girl....papuchi yangu isingeliwa bure bure..
Inategemea unaempa mkuu. Hata wewe kuna waliokupa bure uongo?? Mi mwenyewe sifanyi charity ila inapobidi natoa kwanza imewekwa kwa ajili ya starehe haya ya kutaka kuitumia kupata hela ni matumizi mabaya ya papuchi.
 
Back
Top Bottom