Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
SawaNimebadilika sana kwa sababu sijapata chura!....nikipata chura nitakuwa kaka mzuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNimebadilika sana kwa sababu sijapata chura!....nikipata chura nitakuwa kaka mzuri!
Ndio yuko hivyo sasa hiviNdo nashangaa aki
Nifanyie mpango basi dada!Sawa
Sawa bwana ntafanyaje!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kidogo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
I agree mkuuupo sawa chief...lkn hilo la kwenda kwa mwanamke ukiSeek her sympath and pity ni kujishushia hadhi ya uanaume,
Wanawake mara nyingi ndio wanatumia hiyo technique, mwanaume ni mwanaume tu asee hata kama ni konda wa daladala ukimfata kiume lazima akuelewe hata kama hatokubali.
Khaa!! u are unlucky...sure!Business ama busyness?
Inatokea tu. Mi najibu nikijisikia hasa mtu akija vizuri na nakua namwangalia hata jukwaani anaandikaje. Kujibu pm au kuendelea kuongea na mtu nje ya hapo si vibaya kama hutumiki kimwili au kiakili.Kuna siku za PM mpk unajuta ila kuna moja nillijibu hyo ndo potential yaani I don't regret kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] and I don't why nillijibu maana hua sijibu may be approach aliyotumia kuniingia ilikua nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naulizwaga na mimi hivi kweli hawa wamekuacha kweli? Maana siamini kama hawajakupitia na walivyo mafisiHahaha... hujawahi kua mshamba mahondaw wangu...
Sometimes ni vile tu nikijumuika na wewe na rafiki zangu wengine...
Hahaha ati unaniulizaga... Smart911 hapa kweli hujakula hata demu mmoja kweli... daah jinsi walivyo...
Inategemea unaempa mkuu. Hata wewe kuna waliokupa bure uongo?? Mi mwenyewe sifanyi charity ila inapobidi natoa kwanza imewekwa kwa ajili ya starehe haya ya kutaka kuitumia kupata hela ni matumizi mabaya ya papuchi.hahahaha wewe chagua lako ila if iwas a girl....papuchi yangu isingeliwa bure bure..