You are absolutely rightKuna thread nzuri kaanzisha MJ1 sasa huyu kadandia treni kwa mbele... si unajua kuna watu na viatu??
Nyie mnajuana mmeishazoeshanaHii tabia inakera na kuchosha pia. Nashindwa kuelewa ni nini kimewapata wanaume siku hizi kha!!!
Mimi imenitokea jana kuna rafiki tulizoea kukaa wote baa/club/hotel nk yeye alikuwa hawezi kuchangia bill kwa asilimia 100 nikawa namsaidia juzi nipo mtaani nikamuyona anatembea nikampigia simu kha nilichoka hata salamu hana eti duh afadhali uninunulie bia mbili nilichoka na kukata simu.
Sio siri MNABOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SIO WOTE LKN
Then umfuate mama yako umuoe na kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi.....hakuna anayechuna hapa,tunachunwa na wapenda bure kama wewe.....maskini kama wewe nani akuchune,huo mlupo ulioenda kuuchukua barabarani usiokuwa na hela hata ya betri ya simu usitake kufanya ni kila mtu.....you are cheap ndo maana kwanza kakuomba vitu vya bei che.....wenye hela hawaombwi hela ya betri wala kodi za nyumba,wanaombwa wajenge/wanunue nyumba na kununua simu mpya bora zaidi.....ha ha ha haaaaaaaaaa....jibebe na umaskini wako,ukiona vyaelea ujue vimeundwa babu,we subiri kuundwa tu as hutaki kuunda!
Hivi haki sawa wanao omba ni ipi?
Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati
Na wewe mfuate baba yako aku do. Sisi ni wagumu wa mjini. Tunakutumia na kukuacha. Nazidi kusisitiza mi sio mzazi wako, ni boyfriend wako. Na kwa mtindo huo na tabia hii ya kupenda kuhudumiwa na wanaume mtabaki kuwa madungayembe. yaelekea unaishi mjini kwa kuhongwa.
ha ha ha ha,jazba zitakuua....mimi baba yangu alijitahidi sina ugumu wa maisha,zaidi Mungu kanijalia kukutana wa wanaume wasio lia ovyo....si ka wewe unalalamika kuombwa hela ya betri tu.....sina ugumu wala sijawahi kuuona ugumu wa maisha na zaidi ya baba yangu sikumbuki lini nimetunzwa na mwanaume....nakumbuka kutunza!
nungayembe wamebaki hao unaokutana nao,si tushajaliwa,tunashukuru Mungu...mjini tunaishi kwa kutoa shukrani kwa Mungu kwa aliyotukirimu!

kamanda usisumbuke kabisaaaa. Hii sredi inawakilisha kilio cha dhiki zinazowakumba wabongo na sio zaidi ya hapo. Yaani huo mkaka unalia na kupiga mzinga kwasababu ya dhiki na hii sarafina pia imeanzisha sredi kwasababu inapigwa mizinga na haina cha kutoa. narejea tena, kama nyote wawili mambo yenu ni safi kimaisha infact mnaenjoy kabisa kulipia huduma na kila mmoja anagombania alipie yeye, nekst time nikimtoa shemeji yenu out nitawaalika mkuje kushuhudia, sio sredi za dhiki mnaanzisha kwenye jukwaa la mahusiano.una umri gani?
kamanda usisumbuke kabisaaaa. Hii sredi inawakilisha kilio cha dhiki zinazowakumba wabongo na sio zaidi ya hapo. Yaani huo mkaka unalia na kupiga mzinga kwasababu ya dhiki na hii sarafina pia imeanzisha sredi kwasababu inapigwa mizinga na haina cha kutoa. narejea tena, kama nyote wawili mambo yenu ni safi kimaisha infact mnaenjoy kabisa kulipia huduma na kila mmoja anagombania alipie yeye, nekst time nikimtoa shemeji yenu out nitawaalika mkuje kushuhudia, sio sredi za dhiki mnaanzisha kwenye jukwaa la mahusiano.
Mwanaume anayempiga mzinga mwanamke si mwanaume huyo! 'Baby go n' spoil your self' anakushikisha black card. Huyu ndio mwanaume, tena hasubiri uombe. Mwanaume anatakiwa akimuangalia mkewe/mpenziwe usoni ajue tatizo liko wapi na kufanikisha kama sio kutekeleza the soonest possible.
Endeleeni kulia.