Mwanaume kujiliza liza kha!


hiyo ni nzuri kwa msimamo wako. I hope kuwa mume wako ni muelewa wa kile unachokiamini..
 
hehehe acha tumsubirie asubuhi akuje kujibu hizi tuhuma adhawaizi nitampiga kibuti, mimi najipakazia galfriend wangu michelle lina mabusara sana JF halaf kumbe samtaim analoose temper bana! amenilet chini kweli aisee
Aaah! kamanda umeuona wiki mpya ? hivi mbona tunagongana kwenye anga zilezile lizzy,michelle,Spanish lady au taste zetu zinafanana nini ?
 
Aaah! kamanda umeuona wiki mpya ? hivi mbona tunagongana kwenye anga zilezile lizzy,michelle,Spanish lady au taste zetu zinafanana nini ?
kamanda watch out, Cheusimangala nimemuona yupo around na anaonekana ana jazba za kunyima mtu unyumba! hii post akiiona tu basi ujue imekula kwako.
 
kamanda watch out, Cheusimangala nimemuona yupo around na anaonekana ana jazba za kunyima mtu unyumba! hii post akiiona tu basi ujue imekula kwako.
Mkuu tunatishana tena hahaha! baba na babu yangu wote walikuwa na wake zaidi ya mmoja na ni muhimu kudumisha mila lol!
 
Mkuu tunatishana tena hahaha! baba na babu yangu wote walikuwa na wake zaidi ya mmoja na ni muhimu kudumisha mila lol!
hapo red nikiwa rais wa bongo nitahakikisha mila zinarudi, halaf anaepingana na mila tunamnyang'anya uraia. kupinga mila ni kosa la jinai bana. mizungu wanapigania mwanamme mmoja mwanamke mmoja kwasababu ikilembea goli moja tu inapoteza faham, na sisi waafrika tunaiga tu halaf tunakufa mishipa imesimama. khaaaa!
 

pole kwa kukerwa mpenzi.
 
Ni kweli Kloro juzi kuna njemba jirani yangu mkewe kamruhusu kuoa mwanamke mwingine baada ya kushindwa kuhimili mikiki mikiki ya jamaa akaona asije kufa siku si zake au kulemaa kabisa lol!

OFF TOPIC:Eti kuna tetesi ulimpiga kibosile mmoja hapa JF groan mfululizo ndio maana imeondolewa ? na thanks zimeondolewa bcoz watu kama wewe mnapata zaidi ya asilimia 50 % na wakubwa wana average 15-20 % ya posts ?
 
heheh hapo red inasemekana ndani ya masaa 4 wakuu wawili wa hii kaya (majina kapuni) walikuwa washalembewa groan kama 40 na ushee, wakaamua kuitupilia mbali demokrasia na kuondosha groan mazima, lakini kucover ukweli wakanyutralaizi situation kwa kuondoa na thanks ili wafuasi tuamini kwamba tumeuziwa ndiyo, lakini wajanja wa kigamboni tumeshtukia igizo lakini tunaminya tu kwa maslahi ya PM na vitongoji vyake.
 
Nakushauri uachane na mashobaro/marioo utaishia kupata maumivu tu.
 
Wewe sarafÍ huna jambo humu kama wewe unaboreka kaa chini tulia subiri wanaocheka

Kwani umeambiwa wanawake wote wanazani kama wewe?

Umekaa kidaku kweli na hii ni pumba umeandika mambo yako ya chumbani unatuletea humu

Duh nikion comment zako nitakufikiria kama li design fulani OVYO
 

Mwe watu mna mambo, umenichekesha asubuhi asubuhi kwi kwi kwi kwi sarafina utatolewa macho umewashika watu pabaya lol
 

Pole sana kaka kwa kukukwaza, ila hiyo tabia ya kulialia uache sio nzuri na inakera sana pia unajishushia hadhi. Kasirika unichukie, unitukane ila hiyo tabia sio nzuri
 
Assume wewe ni Presidaa...au waziri, na B.F ni ticha pale mbuyuni primary , unasemaje scenario kama hiyo?
Hiyo haikupi sababu ya kulialia shida hovyo, kwani mwalimu wa primary mshahara wako haukutoshi? mpaka uwe unatangaza shida mtoto wa kiume
 

Nashangaa watu mnavyokuja juu utadhani nimemtaja mtu humu kwamba ndio analialia, hii tabia ipo sana tu na inakera ndio maana umeona wanawake wengi wamesapoti. Kuna sehemu nimesema hata wanaume mwanamke akiwa anaomba omba hovyo anamkimbia, mbona kila siku mwalalamika wanawake wanapenda pesa, wanawake wauwaji etc.

Kama kuna ambae yuko hivi hata ukikasirika jua tu kwamba hiyo tabia inakera
 

Kwa hiyo unataka kutuambia wewe kwa mwaka huu tu tangu uanze umependana na wangapi na wamekulilia wangapi? Au unamaanisha ukikutana na mwanaume yeyote barabarani hata asiyekujua/usiyemjua anakulilia umpe pesa? Na kama ni huyo wa kwako anakulilia unajuaje na wengine wanafanya hivyo, na kama hali hiyo inakukera kwa nini usimwache? Unataka sisi tukupe ushauri gani? Hilo ni fungu lako, labda kuna wenzio wanapenda kuliliwa wataona wamepata akienda huko. Kwa kuwa hilo ni fungu la kukosa kwako nadhani utafute mwingine, na kama kila unayekutana naye anakulilia shida basi tafuta matajiri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…