Sarafina, sioni kama humu utapata la maana kwa kuwa hata wewe kama ulifikiria vizuri unajua suala uliloleta halina sababu ya kujibiwa hapa. Wewe haupendi mwanaume kulia-lia kama unavyosema, basi weka masharti kila mwanaume anapokutokea au unapomtokea maana hii ni mutual process na yeyote anaweza kuanzisha kwani muda wa wadada kujishaua ati mwanamke hawezi kumtokea mwanaume ulishapita, (...it is more business-like nowadays). Weka masharti kuwa kama unataka kuwa nami, number one qualification...hakuna kulia-lia. Ukifanya hivyo sidhani kama tutaiona tena thread ya namna hii hapa JF!