Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

Sasa huyo mwenzio ndio ana akili mwanaume akiwa vibaya beba jukumu bwana huwezi jua jamaa alimsaidiaga nini ur friend
 
Ambiere
 
wewe mwenyewe fala ulikubali aje kufanya nn ningekuwa Mimi ningemwambia achana nae asije ona sasa unaanza majungu
 
Mbona wewe kalio linakuweka mjini na ndo umechukulia biashara serious na hatusemi huoni aibu

Yule niliyemkuta amepanga mstari pale uwanja wa fisi ni nani
 
Usishangae huyo mwanamke kumlipia huyo jamaa kila kitu, usikute ni mtu wake na wamekubaliana kwa hilo. Wewe bila kujuwa ulikuwa boya tu.
 
Wewe ulishawahi kukaa na huyo jamaa ?..Sasa mwenzako anamjua ndio maana hajajali....huyo jamaa inawezekana ni mtoaji sana ila siku hiyo alikwama na hakuwa na kampani.
 
Shida yenu ni hapo mwanaume mkimsaidia kidogo inakuwa nongwa inavyoonekana jamaa yako siku akipigwa chini kazini na home siku iyo iyo nawe unampiga chini
Kwann mtu usijiongeze uchangie Basi hata kidogo
 
Asa umemshangaa kivip? Kwanza nampongeza jamaa ana heshimu bajeti na ratiba zake,kwnn?,mtu nilikuwa sina ratiba ya matumizi hayo nimeitwa kwa kiherehere chenu kwahyo unataka nisaliti mipango yangu ili kukufrahisha ww?
Kwann mtu uje na ujue huna hela hata Kama umeitwa
 
Ww ndo aina ya wale wanawake mpo kwa ajili ya pesa za mwanaume, huwezi kuingiza hata mia yako Ww mwnyw.
Endelea kumuombea mema huyo mwanaume wako mana siku akikosa pesa ndo atajua yupo na malaya
Mm najitegemea nina pesa zangu sina shida na pesa Za mwnaume na siwezi kumsaidia pesa mwnaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…