Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
- Thread starter
- #41
😂😂😂Na hapo alikuwa anawaza mpige INEC, NIDA na CCM 😹😹
😂😂😂Na hapo alikuwa anawaza mpige INEC, NIDA na CCM 😹😹
Mtu mzima anejitambua Kwann utoke out Aya Kama umeitwa na unajua huna hata mia lazima utapata aibu na fedheha tuLakini huyo rafiki yako si alimlipia bila kuuliza? Kama alilipa ile bill yake ya Heineken maana yake anaelewa kwamba "jamaa alikuwa hana budget" ndio maana alimuita na kulipa bila kuuliza.
Ukinita maana yake umejipanga kwa ajili yako na mimi, huwezi kumuita mtu for outing utegemee yeye ndio alipe.
Sema nini, waafrika na akili zetu za kukamatiwa, hatuna tunalojua...
😂😂Usiingilie maisha ya watu
Kuna wanawake wenye mioyo yao ya upendo wanalipia hadi mahari zao
Mungu aendelee kuwabariki
Kila mtu atafute hela kuepuka aibuHakuna kitu kibaya kama umaksin wa nafsi
Ya kukujadili wwkwani mlikua na ajenda ganii haswa
Kama yako tuBill kalipa mwingine ila mlio anatoa mwingine.
Mkuu, sikufichi; una roho mbaya sana.
andika kiswahili fasaha mkuu unaandika kama shoga embu jikaze bwanaJana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume.
Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having two bottles of wine na food Yule Kaka tulivomkaribisha si akashambulia chakula chote, kuku wote kamaliza na chips plate 2 zote kazila Ata kujishtukia hamna, sisi tulikula kidogo sana.
Muda wa kulipa bill mm nikatoa hela nusu, nikashangaa my friend wa kike anamlipia yule mwanaume rafiki yake zile heinken 7 , nikakaa kimya, the guy aka initiate tuhamie sehemu nyingine nikasema okay tukaenda wote, tumefika pale mimi nikatoa pesa ya uber yeye anatoa tu macho, aisee nilimshangaa sana yule mwnanaume, Basi nikakaa kidogo nikaondoka zangu.
Jamani wanaume Ata kama huna hela Basi changia hata kidogo pesa ili muepuke aibu kama hizi Au kama huna kabisa si ulale nyumbani sio lazima kutoka. Na Uyu my friend nimemshangaa kumlipia mwnaume Ivo, khaaaaa.
Nenda nayo hii mkuu, tena kama ni mpenzi wa mitoko tembea nayo kila siku.Mtu mzima anejitambua Kwann utoke out Aya Kama umeitwa na unajua huna hata mia lazima utapata aibu na fedheha tu
Mimi sitafuti, zitakuja zenyewe.Kila mtu atafute hela kuepuka aibu
Uhalisia hauwezi kubadilika tuendelee kutafuta hela
Achangie nn na wakati ameitwa na rafiki yako ww unavyotolewa out na bwana ako huwaga unachangiagaKwann mtu usijiongeze uchangie Basi hata kidogo
Badilika mfumo dume kichwani alfu utaona maisha ni simple sanaJana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume.
Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having two bottles of wine na food Yule Kaka tulivomkaribisha si akashambulia chakula chote, kuku wote kamaliza na chips plate 2 zote kazila Ata kujishtukia hamna, sisi tulikula kidogo sana.
Muda wa kulipa bill mm nikatoa hela nusu, nikashangaa my friend wa kike anamlipia yule mwanaume rafiki yake zile heinken 7 , nikakaa kimya, the guy aka initiate tuhamie sehemu nyingine nikasema okay tukaenda wote, tumefika pale mimi nikatoa pesa ya uber yeye anatoa tu macho, aisee nilimshangaa sana yule mwnanaume, Basi nikakaa kidogo nikaondoka zangu.
Jamani wanaume Ata kama huna hela Basi changia hata kidogo pesa ili muepuke aibu kama hizi Au kama huna kabisa si ulale nyumbani sio lazima kutoka. Na Uyu my friend nimemshangaa kumlipia mwnaume Ivo, khaaaaa.
Shida umekaririshwa maisha we umejuaje kuwa jamaa hamsaidii huyo best yako ndio maana siku hiyo best yako akachukua usukani.Dada ukiishi kwa mtazamo huu hata ukija kuolewa ndoa itakushinda wewe ni mbinafsiKwann mtu usijiongeze uchangie Basi hata kidogo
Unayajua makubaliano yao?Kama yako tu
Wanaume tafuteni hela Ndio heshima mtapata
Ata mm naona Sasa hivi maisha ni simple sana kumhudumia mwanaume Kwa kila kituBadilika mfumo dume kichwani alfu utaona maisha ni simple sana