Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

Umeona ilivyo ngumu kumuhudumia mtu, sasa wanaume tunapitia hiyo hali kila siku
 
Mtu mzima anejitambua Kwann utoke out Aya Kama umeitwa na unajua huna hata mia lazima utapata aibu na fedheha tu
 
andika kiswahili fasaha mkuu unaandika kama shoga embu jikaze bwana
 
Mtu mzima anejitambua Kwann utoke out Aya Kama umeitwa na unajua huna hata mia lazima utapata aibu na fedheha tu
Nenda nayo hii mkuu, tena kama ni mpenzi wa mitoko tembea nayo kila siku.

Usimualike mtu kwa ajili ya mtoko kama wewe huna pesa, ukimwambia mtu "nimekumiss let's go out for dinner" manake wewe ndio unahitaji dinner na huyo mtu, utakuwa responsible kwa kila kitu, unless yeye ndio aseme kuwa mta-share au ata-cover bill. Hii ni universal rule
 
Kuna mfumo fulani wa maisha ambao wanawake wa kiafrika mmeupokea kwa pupa na kuufurahia bila kujua athari zake kama mtoto wa kike.

Kwa ufupi tu wanaume kama huyo jamaa huko mbeleni watakuwepo sana tu, hivyo mjiandae!!
 
Badilika mfumo dume kichwani alfu utaona maisha ni simple sana
 
Kama yako tu
Wanaume tafuteni hela Ndio heshima mtapata
Unayajua makubaliano yao?
Huyo mwenzio hajalalamika, au sio mwanamke mwenzio?
Mkuu, ninyi ndo mnaingilia mapenzi ya watu wagombane, halafu wakiyajenga, mnabaki kutoa macho na kusema iiii. Acha hiyo, mjini hwawaishi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…