Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

Sema wanawake ni wabinafsi aisee..
 
Hata ulivyoandika, kuna dalili huyo jamaa akaanza na wewe.
 
Inaonekana wewe ni mshirikiana sana tena mwenye umri mdogo. Mwache huyo rafiki yako ampe my friend wake maulaji maana hujui mbali na kumlipia bill anampaga chakula gani kingine

Nb. Hela ya mwanamke ni tamu sana
 
Kuna mwaka flani niliwahi kukaa home sina kibarua kwa mwaka mzima na mke wangu alisimamia kilakitu kuanzia bills, food, petrol, schooling na mahaba yalikua yamesimana wala hakuna mtu alijua kama sina kipato
 
Pole sana... inaonekana inaonekana uliumia sana na matumizi ya pesa za mwenzako.
 
Kuna mwaka flani niliwahi kukaa home sina kibarua kwa mwaka mzima na mke wangu alisimamia kilakitu kuanzia bills, food, petrol, schooling na mahaba yalikua yamesimana wala hakuna mtu alijua kama sina kipato
Hongera kaka, ila aina hiyo ya wanawake kama huyo mke wako kwa kizazi cha sasa unazitafuta kwa tochi.
 
Nyie si ndiyo mliomuita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…