RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
- Thread starter
- #41
Hakuna mwanamke anayesahau aliyemtoa bikra, hayupo. Sema wameamua "kumove on".Kwanza kabisa jifunze kutofautisha kati ya nature na social constructs, ulichokisema wewe siyo kanuni ya asili bali ni mtazamo wa jamii nyingi toka enzi na enzi kwamba binti kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa bikira, na mara nyingi mitazamo fulani ikishajengeka kwenye jamii husika ikadumu vizazi hadi vizazi basi hiyo mitazamo huanza kuchukuliwa kama ndio asili lakini kumbe ilitengenezwa na watu kama sisi tu
Mimi binafsi nimeshakutana na wanawake kadhaa ambao wanakiri kwamba walishawasahau wanaume waliowatoa bikira na wala hawana mapenzi nao kabisa, na hata hivyo hilo suala la kuchukulia bikira kwa uzito haliko kwenye jamii zote duniani labda kama hujatembeatembea kwenye nchi za watu, nimegundua hizo imani kwa asilimia kubwa zipo kwenye baadhi ya jamii za africa na asia na ndio maana nikakuambia uniambie ni kanuni gani ya kiulimwengu inayoamua kwamba thamani ya mwanamke iko kwenye bikira yake tu na si kitu kingine chochote
Sasa wewe unaniambia kuhusu mitazamo ya baadhi ya jamii kwani mitazamo ya jamii fulani ndio kanuni za asili, ili jambo liwe kanuni ya asili halitakiwi kuwa subjective bali linatakiwa kuwa objective kwa maana kwamba uwepo wake hautakiwi kutegemea mitazamo binafsi ya watu, yani watu wa jamii zote duniani wanatakiwa naturally wawe na utambuzi juu ya hiyo kanuni bila kuathiriwa na external factors kama gender stereotypes nk
Pili ile hymen haikujileta yenyewe, ile ni asili na pia ina maana yake na tunaweza thibitisha usahihi wa maana yake kwa mambo halisi yanayotokea kila siku. Kanuni za asili ni kanuni za rohoni pia, Mungu ana hekima sana kuweka hymen pale na pale inapovunjwa kupitia ngono na mwanaume, kuna damu inatoka, ile damu ni covenant kati ya mwanamke na mwanaume aliyefanikiwa kumuingilia kwa mara ya kwanza, inaleta muunganiko wa nafsi ambayo ni ngumu kuivunja hata kama wakiachana. Mwanamke atamkubuka sana mwanaume maana yeye mwanamke ndo mlinzi wa agano hilo na yeyote anayekubali kuingiliwa anaipoteza ile thamani ya ulinzi. Hafai kabisa kuwa mke wa mwanaume mwaminifu. Ile bond ndo inawafanya wapashe viporo na kuwasaliti wenzao kwa kigezo kuwa hawaridishwi. Huwezi mridhisha mwanamke aliyepoteza thamani yake kwa kuwa na wanaume wengi huko nyuma, kwanza ni upumbavu.
Pia wanawake wasio bikra wengi wana emotional luggage iliyotokana na past relationships experience, huyu kumuoa ni hatari kwasababu bado hajajiponyesha , ndo wale wanaokubali haki sawa . Mafeminists wengi ni wasio mabikra. Nani anataka kukaa na mwanamke ambaye ana past mbaya? Hakuna.