Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti??
Salamu za wanaume zinaeleweka (oiii ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo!!! Wenye tabia hizi badilikeni.
siku hiz mapunga kibao[emoji16][emoji16]Kuna dume linabinyaa sautii 'ety mambooo 'hadi mwishoo afu mambo inasound kikee.
Salamu ya kiume NIAJE, VIPI, KWEMA, NAMBIE, INAKUWAJE, MAMBO VIPI..Ety my man aseee ikitokea siku anakula block
Hili sasa ni tatizo jipya.. ebu rudia rudia kusoma ulichoandikamy boys jamani...mambo ni salamu kama nyingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hata hiyo mambo.. Kuna hiyo dume zima linakuita my au wangu..!!