Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mkuu kama ni mtoto wangu naweza kumtawaza vizuri tu,labda kama ni mtoto wa mwingine ndo itakua ngumu.Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?
Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?
Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii
Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
Kutawazwa na mwanamke sio shida shida kutawazwa na mwanaume mwenzakoNimekumbuka Inspector Haruni Babu
Alipomjibu Mwana FA Kwenye Wimbo Wa Bado Nipo Nipo
Inspector Alisema Mambo Ya Kwenye Ndoa Tuachie Wenye Ndoa,Mengine Unakosoa Naona Yanatuboa.
Suala Unalotaka Jibu Huo Wote Ni Wajibu Wa Wazazi
Afande Sele Alisema
Aliwazalo Mjinga Ndilo Litakalo Mtokea
Ukiwa Na Mawazo Hayo Ni Ujinga Wako
Watu Wamelelewa Na Dada Zao/Kaka Zao
Ila Wanapokuwa Watu Wakubwa Hupewa Heshma Bila Kuongelea Huo Mtazamo Wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sawa tu hata sisi tunashika vagina za watoto wetu .. halafu we si mgonjwa unakaribia kufa umesema?
we ni mtu wa pwani .... tanga, lindi, mtwara..... mila zenu! na hasa wa dini ile! na wewe ni wa dini ileWakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?
Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?
Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii
Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
Is just BoywoodUkipata mtoto ndo utajua umtawaze au umwache
Hizo kufua ,sijui kupika hiyo kawaida mimi nazungumzia suala la kumtawaza yani baba unamuingiza vidole kweli mtoto wako ili umsafishe ,inaingia akilini kweli hiyo?Mkuu wangu, mimi huwa nafua, namlisha, kumuogesha na usafi aina kwa aina. Ukiwa na familia that's not an issue to discuss at all. Ukiwa baba utapata furaha kubwa kabisa.
Chonde chonde mama.sawa tu hata sisi tunashika vagina za watoto wetu .. halafu we si mgonjwa unakaribia kufa umesema?