Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mtoto wako? kama sio mwanao basi sio sawa. ila kama ni mtoto wako sioni ubaya, pamoja na kwamba inategemeana umri wa mtoto na jinsia ya mtoto.Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?
Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?
Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii
Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
Walikunanga wewe jamaa katika huu uzi rubii
kivipi baby?Anatamani angekua na uwezo wa kurudisha nyuma muda, laiti kama asingeingia katika 18 zangu angekua bado anajimwayamwaya na ID yake aipendayo
Sio mwanaume huyu ila ana jinsia ya kiume!Nyie wanaume acheni ubinafsi mbona nyie mlitawazwa na wadada wa kazi
Mazombie wamekuwa wengi mno JF, hivi mods mnafanya nini ?.I think inabidi kufanyike censorship maana jukwaa limevamiwa na wapumbavu.Hii sio JF ninayoifahamu people are talking too much shit.Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?