Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Bora umemwambia mana sio kila jambo ndani ya nyumba ni la mwanamke pekee[/QUOTE]
emoji116.png

1 Petro 2:7
Kadhalika ninyi waume,ishini na wake zenu kwa kuwahurumia mkitambua ya kuwa wao ni wadhaifu na hivyo muwape heshima,kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima,fanyeni ili sala zenu zisizuiliwe.

emoji116.png

Wakolosai 3:18-19
Ninyi wake watiini waume zenu,kama ipendezavo ktk Bwana.
Ninyi waume wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
Kama unampenda na kumuonea huruma basi..............................
 
Kwani Mkuu ukifanya hivyo uanaume wako utapoteza hadhi na kuanza kuonekana si mwanaume tena!? Mwanaume kumtawaza mwanae awe wa kike au wa kiume hakuna tatizo lolote lile.

Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?

Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?

Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii

Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"
 
Namtawaza, namuogesha, nampaka mafuta na pia nalala na mwanangu!
 
Kijana utakapooa na ukabahatika kupata mtoto utajua umuhimu wa usafi kwa watoto na kwamba hausubiri mama tu!
 
Wakuu hivi ni sawa kweli mwanaume kumtawaza mtoto hasa mtoto wa kiume?

Yani ushike kalio la mwanaume mwenzako kweli? Ushike ile anal ya mwanaume mwenzako kweli?

Hii haipo sawa kabisa akina mama hii ni kazi yenu msiwaachie makaka na mababa kazi hii

Nishashuhudia kesi nyingi mtu anamwambia mwenzake "wewe unajikuta mjanja nishakutawaza sana utotoni huniambii kitu hilo kalio lako nimelichezea sana"

UNA MATATIZO WEWE, HAKUNA SHIDA YEYOTE KUMSAIDIA MKE WAKO UNAPOWEZA. MIMI I CAN DO 95% YA VITU ANAVYOFANYA MKE WANGU (KAZI ZA HOME) HUKU NINATABASAMU. KITU AMBACHO SIPENDI NI YEYE KU DEMAND, ILA HAFANYI HIVYO AND I REAL ENJOY DOING THAT. HIVI KAMA MKE HAYUPO NA DADA KALALA, MTOTO AKICHAFUA PAMPAS UTANGOJA WAAMKE? REAL? YOU WON'T DO IT?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani Mkuu ukifanya hivyo uanaume wako utapoteza hadhi na kuanza kuonekana si mwanaume tena!? Mwanaume kumtawaza mwanae awe wa kike au wa kiume hakuna tatizo lolote lile.
Kwa hiyo mkuu kushika tako la mwanao una ona sawa tu?

Aisee mimi siwezi naona kama namdhalilisha ,sikubali hata siku moja mwanangu atawazwe na wanaume
 
Kwa wanaume wanaojitambua hakuna tatizo lolote lile labda uwe na mawazo ya gizani. Na kwa taarifa yako wanaume wengi wasio na mawazo ya gizani kama ya kwako wanalifanya hili.

Kwa hiyo mkuu kushika tako la mwanao una ona sawa tu?

Aisee mimi siwezi naona kama namdhalilisha ,sikubali hata siku moja mwanangu atawazwe na wanaume
 
UNA MATATIZO WEWE, HAKUNA SHIDA YEYOTE KUMSAIDIA MKE WAKO UNAPOWEZA. MIMI I CAN DO 95% YA VITU ANAVYOFANYA MKE WANGU (KAZI ZA HOME) HUKU NINATABASAMU. KITU AMBACHO SIPENDI NI YEYE KU DEMAND, ILA HAFANYI HIVYO AND I REAL ENJOY DOING THAT. HIVI KAMA MKE HAYUPO NA DADA KALALA, MTOTO AKICHAFUA PAMPAS UTANGOJA WAAMKE? REAL? YOU WON'T DO IT?
Kuchafua pampers si anabadilishwa kawaida tu mimi nazungumzia unapomtawaza pale si unakuwa unamshika shika matako mtoto wako sasa ni haki hiyo?

Wewe ukishikwa tako utafurahi?
 
HAUMSHIKISHIKI, UNAMSAFISHA, AND I CAN DO THAT. UNA MTOTO? KUNA MAHUSIANO YA MTOTO NA MZAZI AMBAYO HUYAELEWI?!?!?! UKISEMA UNAMSHIKASHIKA UNAKOSEA, NI KWAMBA UNAMSAFISHA.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie sio kutawaza tu, huwa nawaogesha kabisa. Na ninao mabinti wawili na wa kiume mmoja. Kama huna dirty minds huwezi kuwaza uliyoyaandika
 
Ana matatizo huyu tena si madogo.

Back
Top Bottom