Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Haikuandikwa kumtawaza mtoto ni kazi ya mwanamke tu , hivi mkeo anapika wewe upo sebuleni mtoto akijisaidia utamuita mkeo aache kupika amtawaze mtoto?
 
Hakika mtoa uzi nahisi hujazaa au huna huruma na watoto, ndo maana ni vyepesi mzazi au mtu mzima kushika kinyesi cha mtoto bila shida, hujawahi kuona mzazi ananyonya makamasi ya mtoto wake haswa mtoto akiwa mchanga amebanwa na mafua hawezi kupumua vizuri? Mtu mzima mwenye utu na anayejitambua si jambo la ajabu kumstiri mtoto mdogo hata km si wako.
 
Hii sio sawa tema ukizingatia kuna baadhi ya wanaume wana vidole gumba vyote mkono mzima. Hii inaweza leta madhara sana kwa mtoto
 
Hizo kufua ,sijui kupika hiyo kawaida mimi nazungumzia suala la kumtawaza yani baba unamuingiza vidole kweli mtoto wako ili umsafishe ,inaingia akilini kweli hiyo?
Makubwaaaaa....... Mkuu wewe ukiwa unatawaza unajiingiza hadi vidole kwa anus??? If not sasa mwanao inakuwaje umtawaze hadi umuingize vidole??? There is sumthing wrong with u haupo sawa mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Miaka ile kulikuwa hakuna haya mapoti ya watoto kujisaidia kulikuwa kuna kitu kinaitwa "kumpanga mtoto" ili ajisaidie unanyoosha miguu ukiwa umekalia sturi, mwisho wa miguu yako ndio unamkalisha mtoto pale miguu mwili ilipoachana ndipo anapotolea haja kubwa na akimaliza unamchambisha vizuri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom