Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

Kwani Mkuu ukifanya hivyo uanaume wako utapoteza hadhi na kuanza kuonekana si mwanaume tena!? Mwanaume kumtawaza mwanae awe wa kike au wa kiume hakuna tatizo lolote lile.

Namtawaza, namuogesha, nampaka mafuta na pia nalala na mwanangu!
 
Kijana utakapooa na ukabahatika kupata mtoto utajua umuhimu wa usafi kwa watoto na kwamba hausubiri mama tu!
 
UNA MATATIZO WEWE, HAKUNA SHIDA YEYOTE KUMSAIDIA MKE WAKO UNAPOWEZA. MIMI I CAN DO 95% YA VITU ANAVYOFANYA MKE WANGU (KAZI ZA HOME) HUKU NINATABASAMU. KITU AMBACHO SIPENDI NI YEYE KU DEMAND, ILA HAFANYI HIVYO AND I REAL ENJOY DOING THAT. HIVI KAMA MKE HAYUPO NA DADA KALALA, MTOTO AKICHAFUA PAMPAS UTANGOJA WAAMKE? REAL? YOU WON'T DO IT?
 
Reactions: BAK
Kwani Mkuu ukifanya hivyo uanaume wako utapoteza hadhi na kuanza kuonekana si mwanaume tena!? Mwanaume kumtawaza mwanae awe wa kike au wa kiume hakuna tatizo lolote lile.
Kwa hiyo mkuu kushika tako la mwanao una ona sawa tu?

Aisee mimi siwezi naona kama namdhalilisha ,sikubali hata siku moja mwanangu atawazwe na wanaume
 
Kwa wanaume wanaojitambua hakuna tatizo lolote lile labda uwe na mawazo ya gizani. Na kwa taarifa yako wanaume wengi wasio na mawazo ya gizani kama ya kwako wanalifanya hili.

Kwa hiyo mkuu kushika tako la mwanao una ona sawa tu?

Aisee mimi siwezi naona kama namdhalilisha ,sikubali hata siku moja mwanangu atawazwe na wanaume
 
Kuchafua pampers si anabadilishwa kawaida tu mimi nazungumzia unapomtawaza pale si unakuwa unamshika shika matako mtoto wako sasa ni haki hiyo?

Wewe ukishikwa tako utafurahi?
 
Kuchafua pampers si anabadilishwa kawaida tu mimi nazungumzia unapomtawaza pale si unakuwa unamshika shika matako mtoto wako sasa ni haki hiyo?

Wewe ukishikwa tako utafurahi?

HAUMSHIKISHIKI, UNAMSAFISHA, AND I CAN DO THAT. UNA MTOTO? KUNA MAHUSIANO YA MTOTO NA MZAZI AMBAYO HUYAELEWI?!?!?! UKISEMA UNAMSHIKASHIKA UNAKOSEA, NI KWAMBA UNAMSAFISHA.
 
Reactions: BAK
Mie sio kutawaza tu, huwa nawaogesha kabisa. Na ninao mabinti wawili na wa kiume mmoja. Kama huna dirty minds huwezi kuwaza uliyoyaandika
 
Ana matatizo huyu tena si madogo.

Mie sio kutawaza tu, huwa nawaogesha kabisa. Na ninao mabinti wawili na wa kiume mmoja. Kama huna dirty minds huwezi kuwaza uliyoyaandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…