Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

Kwa hiyo ungekuwa mme wa SAMIA au Harris Kamala ungefanyeje?

Ni mawazi potofu, mmeoana mtasaidiana...imeisha hiyo
Kwa hio mme wa SSH analelewa au sio ? Mtake radhi Mzee wa watu unajua umemtukana tusi kubwa kwa hio mme wa SSH ni Mario Mr Calisa ?
 
Unatabia za kishoga wewe yeye akilelewa wewe yanakuhus nini ishi maisha yako

USSR
Alafu huyu anajiita mwanaume anatamka hivi, mwanaume huyu ndio sample za kina Delicious J atakua anapigwa vitasa kwenye bunyero
 
Kwa hio mme wa SSH analelewa au sio ? Mtake radhi Mzee wa watu unajua umemtukana tusi kubwa kwa hio mme wa SSH ni Mario Mr Calisa ?
Ukweli huwezi kumzidi rais au makam wa rais kipato.
Moja Kwa Moja kipato cha mkeo kitakuwa kizito zaidi home.
Mim mume wangu alisimama KAZI due to COVID-19 mbona aliishi kwa kunitegemea?

Mkioana ni kusaidiana
 
Ukweli huwezi kumzidi rais au makam wa rais kipato.
Moja Kwa Moja kipato cha mkeo kitakuwa kizito zaidi home.
Mim mume wangu alisimama KAZI due to COVID-19 mbona aliishi kwa kunitegemea?

Mkioana ni kusaidiana
Jamàa kwenye hii story hajaoana na huyo mwanamke analelewa ushaelewa ? Au unataka kuelekezwa tena, alafu mkewe anafanya kazi yeye hafanyi kazi analishwa bure, ushaelewa ? Mimi sifanyi huo ujinga sikubari kulishwa na mwanamke wakati Mimi naweza kufanya kazi sio mlemavu, ushaelewa ? Mumeo alisimama sababu ya Covid Ila wewe hukusimama sababu ya Covid sio vibaya kuna sababu, ushaelewa ? Mwanaume anaefurahia kulelewa na mwanamke ataishia kudharauliwa na mwanamke na mwisho huonekana kua na elements za ushoga, ushaelewa ? Hakuna mwanaume rijali narudia rijali anaesimamisha paipu haswa na kusimamia show vilivyo ambae anaefurahia kulelewa na mwanamke, ukimuona jua tu huyo ana elements za kike, ushaelewa ? Maana wanawake ndio wamepewa hio hulka ya kulelewa na kuhudumiwa na wanaume, ushaelewa ?
 
Sio ujinga bora utoweke kwenye kundi la wanaume kabisa
 
Sio ujinga tu bali niujinga wa kiwango cha reli ya SRG
 
Inategemea.

Kama ni kipindi cha mpito huku akipambana kutoboa avuke wala haina neno maana kwenye maisha huweza kutokea.

Mtihani ni pale ambapo ukiangalia future yake huoni bidii ya yeye kutafuta kutoka, ameridhika ma huo u-jobless na kukuibia vichenchi kwenda kunywa pombe .

Halafu mwingine unaweza kumuona hatoki kwenda kazini lakini kumbe alijenga kijimba chake anapokea kodi.
 
Tena mwanamke kama unamzidi kipato Mwanaume wako itapendeza ukizidisha heshima na unyenyekevu kwake.

Na itapendeza Mwanaume akiepuka kuwa na inferiority complexity
 
Sio Mwanaume tuu, hupaswi kumtegemea yotote kiuchumi ingali u mzima ki afya, kimwili na kiakili.
Siku akikutoka ghafla? Mifano tunayo.... Pambanaa, Tafuta chako....

Mwanaume Anayemtegemea mwanamke Wewe Ni JINGA..

Mwanamke unayemtegemea Mwanaume tuu wewe ni Puuzi...

Na wewe unayesoma hapa upo hivyo ni Puuzi na nusu...
Na wewe unayemuendekeza ni Takataka.

Mpambanaji Mungu akunyooshee njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…