Mwanaume kumwita mwanaume mwenzio kwa herufi ya kwanza ya jina lake imekaaje?

Hao ni wanaume wa Dar.... tehteehhh
 
mwanzo ulikuwa na akili,now umekumbwa na nini?
 
Mwanaume hatakiwi kua Na ivyo vitabia vya kike nyemelezi ...ndio maana kuna mwanaume aliekamilika Na wale walioko kati yaani tunawaita .other
 
Mwanaume kamili hatumii hata emoji emoji
 
Mbona huko Dar kawaida tu.!
Si unajua tena vijana wengi wa Dar ni "Mbogamboga"
 
uanaume ni mgumu kila kitu kinapigwa
utaambiwa hata kuchambia maji utaambiwa wanawaume hatakiwi hivyo aseleleke tu kwenye majani
Nmecheka sana mkuu.
Kwamba tuanze kutumia magunzi sasa ili tuonekane hiphop
 
Utakuta dume zima linamuita mwanaume mwenzie eti "My"
 
Haaaa wa Dar huyo[emoji115] [emoji23] [emoji51] [emoji16]
 
ungetufafanulia kidogo ni wa dar au sisi wa mikoani
 
Profesa J itabidi aanze kuitwa Profesa Josefu!
 
au mwanaume kujibu "K" au "P" au "Mambo my " kwa mwanaume mwenzie kupitia sms ni uchoko
 
uanaume ni mgumu kila kitu kinapigwa
utaambiwa hata kuchambia maji utaambiwa wanawaume hatakiwi hivyo aseleleke tu kwenye majani
hahaa mwanaume utaogaje kila siku hiyo ni yabia ya kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…