Puyugu 01
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 573
- 455
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Inaruhusiwwa kwa majina yanayo anzia na herufi j tu tofauti na herufi j ni ukhanithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Inaruhusiwwa kwa majina yanayo anzia na herufi j tu tofauti na herufi j ni ukhanithi
Hao ni wanaume wa Dar.... tehteehhhWakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
mwanzo ulikuwa na akili,now umekumbwa na nini?Wakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
Mbona huko Dar kawaida tu.!Wakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
Nmecheka sana mkuu.uanaume ni mgumu kila kitu kinapigwa
utaambiwa hata kuchambia maji utaambiwa wanawaume hatakiwi hivyo aseleleke tu kwenye majani
Haaaa wa Dar huyo[emoji115] [emoji23] [emoji51] [emoji16]Wakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
ungetufafanulia kidogo ni wa dar au sisi wa mikoaniWakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
Wa mikoani ...wanaume wa dar tunaelewa misingi yetu[emoji23] [emoji23]ungetufafanulia kidogo ni wa dar au sisi wa mikoani
Profesa J itabidi aanze kuitwa Profesa Josefu!Wakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
hahaa mwanaume utaogaje kila siku hiyo ni yabia ya kike.uanaume ni mgumu kila kitu kinapigwa
utaambiwa hata kuchambia maji utaambiwa wanawaume hatakiwi hivyo aseleleke tu kwenye majani
Teh! teh! teh.uanaume ni mgumu kila kitu kinapigwa