Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

Kuna nyumba nilipanga miaka 5 ina wapangaji wa kike kama wote ila hadi nahama sijawahi kuna na namba ya Mwanamke yeyote yaani zaidi ya salamu no story papuchi nilikuwa nakula za mbali tu,tatizo ukianza mahusiano na mpangaji wa kike utajikuta unaoa kimasihara ama unalipa kodi ya watu wawili kimasihara
 
Back
Top Bottom