Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

MI KUNA DEMU JANA KAJA GETO AKATAKA KWENDA KUOGA ETI ANANIULIZA KAMA NINA KANGA AU KITENGE, HII SI NI DHARAU WAKUU?
Mkuu geto kwa baharia yoyote hua hakukosekani hiyo kitu kwa ajili ya dharula kama hizo mara nyingi hua zinakua zimesahaulika na mabinti wengine waliopata kupita hapo
 
Mimi nina mke, wakati wa asubuhi home navaa khanga vizuri tu kwenda kuoga mswaki nk, na some times navaa tight yake kwenda job, na mi sio mtu wa pwani ni mkurya wa tarime
 
Nipo nimevaa hapa huku natafuna karanga mbili tatu na mtindi..huku wife akiwa mita kadhaa akikorofisha Mambo. Wakati huo ntaendelea kusoma comments za wadau..nione wanasemaje kuhusu hatua yangu.
 
Nguo ni nguo tu, ss kwetu bara hatuna hayo mamisuli, unyamwezini tunavaa tu hizo kanga na vitenge. Hamna shida hata lubega wa kitenge au kanga tunapiga tu.

Mijini kuvaa kanga au kitenge asubuhi ukiamka na kutoka chumbani kwangu ni vazi tu jepesi nimevaa, mke wangu ameniandalia kanga moja ndo huwa navaa.

Nisipoiona huwa naibua yoyote ile. Kwake ni furaha tele. Nikiondoka inafuliwa na kutunzwa.
Kuna siku nilichukua sijui kitenge kile au kanga yake moja hv kujifutia maji..alinitolea povu balaaa..akasema sijui kwanini nmechukua cheupe...sijui kwanini nmechukua wax..nikabaki kucheka
 
Wamekulia pwani hao hawajui hizi mambo
 
Kuvaa khanga ya MKEO ni MAHABA..especially watu wa pwani..ni kawaida hiyo.. Lakini ukikuta DUME lina khanga gheto bila kuwa na mke basi ni MUSHKELI....mtupu..
[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu hana mke ila ndani kaweka kanga haaa haa, ila yawezekana alipata zawadi kuwa nayo si mbaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu hana mke ila ndani kaweka kanga haaa haa, ila yawezekana alipata zawadi kuwa nayo si mbaya
Inawezekana alikua mubebe wake kumsalimia akaiacha
 
Kuna siku nilichukua sijui kitenge kile au kanga yake moja hv kujifutia maji..alinitolea povu balaaa..akasema sijui kwanini nmechukua cheupe...sijui kwanini nmechukua wax..nikabaki kucheka
Hahahahaha usichukue ile iliyotunzwa vzr ibua ile inayozagaa zagaa.
 
Kuna kupenda na kutamani , tufafanulie kidogo hapo

Unaanzaje kumtamani mkeo, huyo ni wako tayari.... hapo ni ile ukianza kumpenda peke yake na kumwona ‘mkali’ kuliko wengine wote huko nje.
 
Unaanzaje kumtamani mkeo, huyo ni wako tayari.... hapo ni ile ukianza kumpenda peke yake na kumwona ‘mkali’ kuliko wengine wote huko nje.
Unajua mkeo unampenda na kumtamani ndo maana yupo ndani anakutunza na kulea watoto kama Mungu kawabariki.

Wanawake wengine unawatamani tu kufanya nao tendo la ndoa , hamu ikiisha na nafasi yao kwisha.
 
Back
Top Bottom