Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

Mwanaume kuvaa Kanga au Kitenge

Dah unakuta mwanaume amejaaliwa ki aina halafu kapiga hyo khanga mi huwa nadinda aisee,ebu tuvae tu mavazi yetu na mataulo tukienda kuoga
 
.....huu n upumbav mnajadili hapa......na ndo mana miafrica hatuendelei sababu ya ujinga kam huu kukaa na kuanza kujadili mambo ya watu na kupoteza muda.....hapa duniani kila mtu ana opinions zake...sasa mjinga ww unataka kila mtu afanane na ww huu si upumbav huu........mind your own goddamn business bitches.....mnakaa hapa kujadili upumbav midume mizima kama mitoto ya kike....sasa si bora huyo anayevaa kanga....... bullshit..
 
Dah unakuta mwanaume amejaaliwa ki aina halafu kapiga hyo khanga mi huwa nadinda aisee,ebu tuvae tu mavazi yetu na mataulo tukienda kuoga
....mwenzako ww nani??...kila mtu kazaliwa kivyake atakufa kivyake so usimpangie..... mind your own damn business........
 
Kanga na vitenge ni mavazi ya wanawake, kwahiyo mwanaume akivaa vazi hilo, anakuwa amejifananisha na wanawake, na hili jambo baya kabisa.

Misuli ndiyo mavazi yetu, tuvae misuli ama kanga na vitenge ni mavazi ya wanawake.

Ahsante.
Mnh.! Basi poa_kuanzia kesho nitamwambia mama watoto awache kabisa kunipa kile kitenge chake

Akiniuliza kwanini namwambia mufti kasema
 
Kanga nyepesi inapitisha hewa safi ili makende yatengeneze mbegu safi za kuzaa wasomi na matajiri!!!Uvaaji boksa na chupi umesababisha kuzaliwa maskini na ma bogas mengi mjini hapa!!pia mkuyenge unapumua na kuongezeka urefu na unene!!!!!
 
Huu ni utamaduni wa kiswahili wa zamani Sana, kwa mwanamke Kiswahili hasa wa ki Zanzibar. Wanahisi Mwanamme kuvaa bukta,suruali kipande wakati yuko chumbani na mkewe ni kumvunjia heshima mke wake..
Duuhh .. Khanga na kitenge i swear hauwezi nivalisha aise
 
Duuhh .. Khanga na kitenge i swear hauwezi nivalisha aise
Naamini maneno yako, kwasababu kuvaa kanga au kitenge sio utamaduni wako..

Labda utamaduni wako ni kuvaa kaniki,au mavavi mengine
 
Back
Top Bottom