Mkuu geto kwa baharia yoyote hua hakukosekani hiyo kitu kwa ajili ya dharula kama hizo mara nyingi hua zinakua zimesahaulika na mabinti wengine waliopata kupita hapoMI KUNA DEMU JANA KAJA GETO AKATAKA KWENDA KUOGA ETI ANANIULIZA KAMA NINA KANGA AU KITENGE, HII SI NI DHARAU WAKUU?
Pwani gani hiyo??Haa
Mambo Mengi Sana
Pwani Ndiyo Huvaa Hivyo
Kuna siku nilichukua sijui kitenge kile au kanga yake moja hv kujifutia maji..alinitolea povu balaaa..akasema sijui kwanini nmechukua cheupe...sijui kwanini nmechukua wax..nikabaki kuchekaNguo ni nguo tu, ss kwetu bara hatuna hayo mamisuli, unyamwezini tunavaa tu hizo kanga na vitenge. Hamna shida hata lubega wa kitenge au kanga tunapiga tu.
Mijini kuvaa kanga au kitenge asubuhi ukiamka na kutoka chumbani kwangu ni vazi tu jepesi nimevaa, mke wangu ameniandalia kanga moja ndo huwa navaa.
Nisipoiona huwa naibua yoyote ile. Kwake ni furaha tele. Nikiondoka inafuliwa na kutunzwa.
Wamekulia pwani hao hawajui hizi mamboNguo ni nguo tu, ss kwetu bara hatuna hayo mamisuli, unyamwezini tunavaa tu hizo kanga na vitenge. Hamna shida hata lubega wa kitenge au kanga tunapiga tu.
Mijini kuvaa kanga au kitenge asubuhi ukiamka na kutoka chumbani kwangu ni vazi tu jepesi nimevaa, mke wangu ameniandalia kanga moja ndo huwa navaa.
Nisipoiona huwa naibua yoyote ile. Kwake ni furaha tele. Nikiondoka inafuliwa na kutunzwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu hana mke ila ndani kaweka kanga haaa haa, ila yawezekana alipata zawadi kuwa nayo si mbayaKuvaa khanga ya MKEO ni MAHABA..especially watu wa pwani..ni kawaida hiyo.. Lakini ukikuta DUME lina khanga gheto bila kuwa na mke basi ni MUSHKELI....mtupu..
Inawezekana alikua mubebe wake kumsalimia akaiacha[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu hana mke ila ndani kaweka kanga haaa haa, ila yawezekana alipata zawadi kuwa nayo si mbaya
Ni kweli mie naona si vibayaInawezekana alikua mubebe wake kumsalimia akaiacha
Hatari mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta mtu hana mke ila ndani kaweka kanga haaa haa, ila yawezekana alipata zawadi kuwa nayo si mbaya
Hahahahaha usichukue ile iliyotunzwa vzr ibua ile inayozagaa zagaa.Kuna siku nilichukua sijui kitenge kile au kanga yake moja hv kujifutia maji..alinitolea povu balaaa..akasema sijui kwanini nmechukua cheupe...sijui kwanini nmechukua wax..nikabaki kucheka
Kuna kupenda na kutamani , tufafanulie kidogo hapoUkiona unaanza kumpenda mkeo pekee ujue umekaribia kufa.
Utafiti.
Kuna kupenda na kutamani , tufafanulie kidogo hapo
Unajua mkeo unampenda na kumtamani ndo maana yupo ndani anakutunza na kulea watoto kama Mungu kawabariki.Unaanzaje kumtamani mkeo, huyo ni wako tayari.... hapo ni ile ukianza kumpenda peke yake na kumwona ‘mkali’ kuliko wengine wote huko nje.