Mwanaume kuwa makini na 'Dinner dates'

Mwanaume kuwa makini na 'Dinner dates'

Sisi tunawaangalia tu!!
 

Attachments

  • FB_IMG_1734420516280.jpg
    FB_IMG_1734420516280.jpg
    50.1 KB · Views: 2
Wakina dada wanachekesha sana.. 50/50 kwenye kila kitu ila ukigusa hapo kwenye bill pasu kwa pasu wanakua wakali kweli kweli.
 
Binafsi kama mimi ndiyo namualika mwanamke for a date sijali kulipa kwani nakuwa nishajiandaa ila kuna huu ujinga, unakuta mwanamke anakupigia simu kutaka mtoke out for dinner au hata lunch. Mnapanga kukutana sehemu mliyopanga kukutana mwisho wa siku unashangaa anakuachia wewe ulipe bill wakati ni yeye ndiye aliyekualika out. Mwanamke wa namna hii namfuta kwenye memory ya simu yangu......useless women should never be allowed to contact me or be close to me in any level.
 
Back
Top Bottom