Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Blaza umeamka na hasira leo..Kazi kwelikweli.
Sheria mbovu za nchi ndiyo chanzo cha hayo ....sheria za sex zote Tanzania ni mbovu na batili mfano sheria ya sex na mke au mume wa mtu kosa anatupiwa mwanaume tena ukute huyo mwanaume siyo mume wa mtu ila mwanamke cha kushangaza hapo kosa linatupiwa wanaume kana kwamba mkataba wa ndoa ni baina ya huyo mwanaume na mke wa mtu ..jukumu la kulinda mkataba ni baina ya mlio kubaliana ..kiakili na kihaki ni kwambaKwa nini uwe umeathirika kiasi cha kuzoea kutazama wanaume wenzako wakifanya ngono?
Unakaa na kuangalia kwa makini video za wanaume wenzako wakishiriki tendo la ndoa na wanawake?
Una shida ya akili wewe si bure
Kabisamke akikubali kutoka nje ya ndoa ni kosa lake siyo la aliye toka naye maana mkataba si baina ya hao wawili
2)mume pia akitoka nje kosa ni la mume kuvunja mkataba.
una maana gani tena mkuu kusema ivo?Blaza umeamka na hasira leo..
Ndiyo na mikataba waliandikishiana wao wawili... wao wenyewe ndiyo wenye wajibu kulinda mikataba yao waliyo ingia ...ndiyo maana sasa hizi SHERIA ZA KIANITHI ZA CCM ZINATUMIKA VIBAYA UNAKUTA MKE WAMTU ANATUMIWA KUTENGENEZA MITEGO YA FUMANIZI ILI KUMBANA MWANAUME ANAYE TEMBEA NAYE ...KUNA MIKASA MINGI IMELETWA HAPA JF ...YAANI UNAFUATwA NA MSICHANA ANAJILENGESHA NA KUJITONGOZESHA KISHA MNAKWENDA GEST NDIYO WANAJIDAI KUKUFUMANIA NA HUYO MSICHANA ILI KUKUPIGA PESA.Kabisa
Mfano Wanawake wakiwakataa wanaume nje ya ndoa
Kwishaaaa
Na mwanaume akikataa kutoka nje
Kwishaaaa
Hiz shida hazitokei tena
Maoni baada ya kuokoka na si mwanzo katika uhalisia, naimani umenielewa.sasa umeyajuaje hayo mkuu?
Hii mbaya kumjaribu mwenzioNdiyo na mikataba waliandikishiana wao wawili... wao wenyewe ndiyo wenye wajibu kulinda mikataba yao waliyo ingia ...ndiyo maana sasa hizi SHERIA ZA KIANITHI ZA CCM ZINATUMIKA VIBAYA UNAKUTA MKE WAMTU ANATUMIWA KUTENGENEZA MITEGO YA FUMANIZI ILI KUMBANA MWANAUME ANAYE TEMBEA NAYE ...KUNA MIKASA MINGI IMELETWA HAPA JF ...YAANI UNAFUATA NA MSICHANA NANAJILENGESHA NA KUJITONGOZESHA KISHA MNAKWENDA GEST NDIYO WANAJIDAI KUKUFUMANIA NA HUYO MSICHANA ILI KUKUPIGA PESA.
Huyo jamaa ni miyeyusho.sasa umeyajuaje hayo mkuu?
duh kumbe yeye ndo mraibu mkubwa wa video za ngono, au ndo kaokokaHuyo jamaa ni miyeyusho.
Aliwahi kuleta uzi humu wa kuwapa mbinu wadau waweze kubypass censorship ya twitter iliyokuwa inadhibiti maudhui ya ngono kwa nchi za Amerika na Ulaya.