Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
Ukisikia kelele za chura ndo hizi sasa
Inaharibu hisia za asili za tendo la ndoa.asante, tutaokoka taratibu
duh kumbe yeye ndo mraibu mkubwa wa video za ngono, au ndo kaokoka
maelezo mazuri sana, thanksInaharibu hisia za asili za tendo la ndoa.
MUNGU hakutuumbia vichocheo vya ngono nje ya sisi wenyewe wawili.(Mke, me.)
Badala yake inaleta msisimko bandia. Na kuuwa nguvu za kuime.
Ni faida kuacha pornography.