Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemsaidia kuelewa, kama hajaelewa hapa basi ni kubwa jingaTatizo la wanawake wa Siku hizi wakiona mwanaume kajitoa kuwapa Pesa na upendo wanamuona Limbukeni na Mjinga..
Ngoja nikupe facts..
MWanaume hatoi pesa hovyohovyo ila kwa sehemu anayoithamini nakuipenda..
Ipo siku atashtuka kuwa hapendwi na hataweza kukupa tena Hiyo pesa unayomuonea nayo ulimbukeni..
Hatutaki kuona Uzi tena na mabandiko yanayosema wanaume ni wabahili na hawajali wapenzi wao..
Wanawake hamjui Mnalotaka hamjui nini hasa mnataka mpewe na hasa nyinyi wanetu wa 2k..
Yaani mnahisi Mnaijua Dunia kuliko sisi Baba zenu?
😳Money can't buy Happiness
Wenzako huwaoni wanadai fedha hawataki. Wanaita ela badala ya hela.Kwamba😂😂😂🤣.. Haya naomba hela🤒
Mimi nataka zote ela na hela vyote kwa pamoja🤒🤒😂Wenzako huwaoni wanadai fedha hawataki. Wanaita ela badala ya hela.
Mwanaume limbukeni
Huyo ndio xixi sio milima tutakutana. Kumbe ni sisi😀 Ni shichi bwana Mkuu..www.jamiiforums.com
Hapo kwenye Waha apo!kwa Nini umewaweka na hayo makundi!?vijana wa mtaani, wachora kucha, bodaboda, waha
Wakulungwa huyu binti ana hoja nzito! Mahusiano haÅŸa ya mapenzi si kitu rahisi kama wengi tunavyodhani. Kila upande katika mapenzi una vipaumbele vyake. Ni kosa kwetu wanaume kudhani hela ndicho kipaumbele cha kila mwananke. Kuna wengine kweli ni kipaumbele lakini wengine hela ni kichocheo cha mapenzi ingawa ni muhimu katika maisha ya mwanadamu ya kila siku.Tuseme aninyime ela halafu anijali aniliwaze anibembeleze, linganisha hapo. Ukisema unipe ela kwa dhana kwamba ndio jukumu lako kama Mwenza halafu majukumu mengine umuachie bodaboda utanikuta kesho sipo nimehamia kwa bodaboda nimekuachia ela zako.
Tatizo mademu hamjui mnataka niniHabari..
Nimetamani kushare kuhusu mwanaume limbukeni.
Yule ambae anahisi akikupa ela ndo kamaliza kukupenda na kukujali. Ambae mali yake kila siku inaliwa na vijana wa mtaani, wachora kucha, bodaboda, waha wakopesha vyombo nk.
Halafu unakuta kuna mwamba huku ndani anaijua hii, ila anaona akiawasanua mkisanuka wake zenu atawakosa.
Acha ulimbukeni, upweke hauliwazwi kwa pesa, jiongeze ili uepukane na vilio vya hapa na pale pindi ukisalitiwa.
Asanteni
Duh. Kumbe ni hela..Wenzako huwaoni wanadai fedha hawataki. Wanaita ela badala ya hela.
Mwanaume limbukeni
Huyo ndio xixi sio milima tutakutana. Kumbe ni sisi😀 Ni shichi bwana Mkuu..www.jamiiforums.com
OK,Pamoja na yote unayolalamikia, appreciate hela za watu binti, kila mtu anaihitaji hela yake, Kwahiyo kama ameamua kukupa wewe ni kitu cha kupongezwa.
Kama unafanya kazi/biashara na unaingiza hela hope unajua kuwa sio rahisi.
Duniani huwezi kupata kila kitu, mwenye pesa hana muda na mwenye muda hana pesa. Chagua moja.