Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Hahaha...hiyo inaitwa promo..trolling!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Le mutuz he's going to be employer

May Allah bless Me and You
 
Nimechekaaa. Msaga sumu kwenye Tasnia yake ya uandishi
Eti vifaa maalumu vya kukalia maarufu viti
 
Hahaha ,huyu msaga sumu i wish nimuone,mkuu nitume hta pic yako tuuu [emoji23] [emoji23] kwamba revolution ya miaka 100
 
Hakuna jpya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hivyo vyombo(camera)mbona Kariakoo zipo ?hata ubora zimezidiwa na vifaa vinavyouzwa pale kwa marehemu Mh Deo Filikunjombe -Jumbo Camera.Watu kwa kupenda sifa hamjambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…