Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

- hahahaha kazi yangu ni Media yaani kupiga kelele ila kwa vile uwezo wako ni mdogo sana wa kuelewa ndio maana hujui kwamba kelele zangu huwa ni calculated ninapoi promote studio yangu kabla ya kuanza kuna ninayoyalenga na on a serious note ninayapata, hii sio kazi ya jeshi that inahitaji siri kwenye media tunapiga kelele ila kelele za sababu pole sana jifunze kufikiria sana next time kabla hujarukia treni kwa mbele

le Mutuz
Pana point hapa
 
Hivi mleta uzi unajua vifaa vya kisasa au unapiga promo?!



Jaribu kuangalia television kama cnn,bbc au al jazeera uone kamera za studio zilivyo au nenda pale azam tv ukaone


Acheni utani jamani.
 
View attachment 572587

Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga.

Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.

Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.

Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.

Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
Amejitahidi na amekomboa vijana wasio na kazi
 
Mbona ipo kama ile studio ya zamani iliyokuwepo pale Kinondoni Studio miaka ya 73/74.?
 
- Ninataka kuamini kwamba unaujua umri wangu na kwamba wewe ni Mungu, maana nilianza na Blog MWaka 2012 mkasema sana na leo yamekuwa haya bado mnasema tu maskini ya Mungu poleni sana hahahahahahaha hapa kazi tu hahahaha huwa hatusikilizi maneno maneno ya shombo!

le Mutuz
Hizi changamoto za kebehi zitakuimairisha sana, zichukulie kama vile ka upepo flani unaokusukuma kwenye uelekeo sahihi.
Nijuavyo mimi maskini ana ujuaji mwingi ilhali hali yake anaijua.
 
Back
Top Bottom