Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheri nikalime kuliko kufanya kazi na Lemutuz
Hongera kwa studio ya kupigia picha- hahahahahaa ungesema kuliko kufanya kazi na wewe mwenyewe maana binadam wa aina yao huwa wanajichukia wenyewe hahahahahaa halafu wanasiangizia wengine hahahah
le Mutuz
Haha mtoa uzi nae ni mzidisha chumvi kama taasisi flani inayopaka mambo yake mafuta kumbe mambo yake ni machafu
Msintafite[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa studio ya kupigia picha
Kamera KUTU TUPU Utendaji Zero!
Hahahaaaa.. Umeua mzeeLemutuz shati lake linafunika Vitz Mbili na kipande kinabaki.
Sent From My Nokia Ya Tochi
Pana point hapa- hahahaha kazi yangu ni Media yaani kupiga kelele ila kwa vile uwezo wako ni mdogo sana wa kuelewa ndio maana hujui kwamba kelele zangu huwa ni calculated ninapoi promote studio yangu kabla ya kuanza kuna ninayoyalenga na on a serious note ninayapata, hii sio kazi ya jeshi that inahitaji siri kwenye media tunapiga kelele ila kelele za sababu pole sana jifunze kufikiria sana next time kabla hujarukia treni kwa mbele
le Mutuz
Canon Camera Eos 5D Mark Iii 24-105 Mm Lens Bei yake unanunua le noah from yard kabisa.- I mean hauko serious Camera Cannon 5D MARK 111 unajua bei yake na ni ya mwaka gani? hahahahahaha pole sana mkuu nenda kajifunze tena maana ungekuwa mjuzi ungejua bei ya lens yake tu kuwa ni sawa nyumba unayoishi huko swekeni!!
le Mutuz
Amejitahidi na amekomboa vijana wasio na kaziView attachment 572587
Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga.
Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics), vifaa vya kukalia (maarufu kama viti), kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa, extension cables zenye urefu usioelezeka, acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.
Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
naskia Ngatunga anataka akutoekwa uelewa wangu mdomo hii pia ni advertisement ambayo jf hawaitaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi changamoto za kebehi zitakuimairisha sana, zichukulie kama vile ka upepo flani unaokusukuma kwenye uelekeo sahihi.- Ninataka kuamini kwamba unaujua umri wangu na kwamba wewe ni Mungu, maana nilianza na Blog MWaka 2012 mkasema sana na leo yamekuwa haya bado mnasema tu maskini ya Mungu poleni sana hahahahahahaha hapa kazi tu hahahaha huwa hatusikilizi maneno maneno ya shombo!
le Mutuz