Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Idiot, KAZI YA MEDIA KUPIGA KELELE? kweli umetukana watu wa media kabisaaaa. kunatofauti kati ya kupiga kelele na kutoa sauti kubwa. Kazi ya kupiga kelele ni ya wanasiasa na wanaharakati. LAKINI JUA KUWA WAHENGA WALISEMA, KIZURI CHAJIUZA KIBAYA ............... kwa hiyo Bigman endelea kupiga kelele kufanya calculation ili kupromote studio yako ya kupiga picha za vitambulisho. TUKO PAMOJA TUNAKUUNGA MKONO, SIO KILA ANAE KUPINGA YUPO KINYUME NAWE.
 
I'm humbled you know

Even a black folk hate to see another nigga made it..

- hahahaha ndio maana ya akili kubwazzz yaani unakuwa umewaacha watu mbali sana kwa uwezo mkubwa wa kufikiri sasa kujiliwaza wanakuja na makelele mengi like here mnanisaidia tu na promo za bure thanks guys

le Mutuz
 

- hahahahaha tunapiga calculated noises ila kelele zako ndio bure huna lengo wala mission, tulia wewe njoo hapa nikupe darasa faida ya my kelelezz hahahahaha shule zero!

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…