Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Kwa umri alionao mpaka ije kuwa kama BBC labda wajukuu!!

- Ninataka kuamini kwamba unaujua umri wangu na kwamba wewe ni Mungu, maana nilianza na Blog MWaka 2012 mkasema sana na leo yamekuwa haya bado mnasema tu maskini ya Mungu poleni sana hahahahahahaha hapa kazi tu hahahaha huwa hatusikilizi maneno maneno ya shombo!

le Mutuz
 
[emoji23][emoji23]dooh
upload_2017-8-23_11-2-12.jpeg


- hahahahaha eti hii ni machine ya nani hapa Dar? na hapo ni wapi hapa Dar? hahahahaha uongo wa nini ili mnikatishe tamaa? hahahahahaha

le Mutuz
 
Watanzania tunajua kumkatisha mtu tamaa. Nyie mwenzenu kathubutu kufanya hiko kidogo. Wengine mnambeza hapa ila hamna hela hata ya kununua mic moja ya laki 5 nyambf zenu. Mwacheni huyo jamaa anapigana na life lake. Hata akiwa na chumba ka choo haiwahusu. Mbona mna akili ndogo kama ya liso

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni kashfa mpya kwa le Mutuz yaani studio kubwa hivyo wewe unaiona ati ni ndogo!
 
Lemutuz una ID nyingi.. Hongera

Halaf umenunua viti mic coffee maker toka marekani na ulaya?

Hata watoto wa mange uwez ukawadanganya upuuzi huo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 573110

- hahahahaha sure hii ni sehemu maalum ya kurekodia vipindi ni 10 x 10 nafikiri unajua Square Meter moja kwa hapa doantown baei yake so cha msingi ni location zaidi
View attachment 573112

- Huu upande wa pili ni ofisi ya productions na Blog, tuna nafasi ya kutosha kwa wale tuliowahi kuishi nje ya nchi kuwa na ofisi au studio downtown sio kitu rahisi nyie wadanganyeni waiojua lolote humu na hawajawahi kwenda popote ndio wanawaweza kuwashangilia lakini sio mtu aliyeishi nje na anajua thamani ya vifaa tulivyonavyo so far na bado hatujamaliza,

- Kuna mackbook desktops zinakuja from Nairobi, na bado kuna meza zinatengenezwa hazijaisha zinakuja sepcial kwa ajili ya kazi so guys tupo sawa saana na right on the track

le Mutuz
Wewe bro... waache tu hao maana wengine wanamaneno utazani wana million100 ndani kumbe wangine Hata mbuni hawana ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 573102

- Vijana wameshaanza mazoezi baada ya kupata ajira hapa kwenye new studio, kama kutoa ajira kwa vijana kama hawa na kuwatoa mtaani ni aibu then naomba nibebe hiyo aibu, i hope na wewe unafanya mambo kama yangu ya kusaidia kuondoa vijana mtaani na kuwapa ajira!

le Mutuz
Unawaondoa vijana mtaan kvp huku we mwnyw bado upo mtaani?

Sent from koromije using bashite
 
View attachment 572587 Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga. Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics),vifaa vya kukalia (maarufu kama viti),kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa,extension cables zenye urefu usioelezeka,acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.
Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
Ndugu yangu MSAGA SUMU kitu kikishafika Tanzania ujue kwa wenzetu kishakuwa old fasheni kabisa...
Four G inayotamba kwasasa niliikuta China 2014
Touch screen imeingia bongo 2006, niliikuta Japan 1999

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safari bado ni ndefu kwa mkuu Lemutz cha msingi akomae tu asikubali kukata tamaa huo ni mwanzo mzuri kwake, hakuna aliyeanzia juu wote walipambana.
 
Lemutuz una ID nyingi.. Hongera

Halaf umenunua viti mic coffee maker toka marekani na ulaya?

Hata watoto wa mange uwez ukawadanganya upuuzi huo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
upload_2017-8-23_12-4-53.jpeg


- Unasema kuna coffee Maker hapo? duhhahahaha kuingia kwa ID nyingi ni kunufaisha wengine siwezi kufanya huo mchezo never!

le Mutuz
 
Back
Top Bottom