Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Vifaa vya kukalia maarufu kama viti hahahahahhahaha daa mimi nasoma hii habari mara kwa mara nacheka sana....jamaa anajua sana kupamba story na kusimulia...
jamaa ana kipaji sana sijui kama ana fahamu hili swala....nimecheka sana hii story...kifaa maalum cha kunywea chai hahaha