Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila lemutuz nasikia ww ndo unampakua mavi gavana wetu wa mkoa ni kweli?
Ila lemutuz nasikia ww ndo unampakua mavi gavana wetu wa mkoa ni kweli?
Vifaa vya kukalia maarufu kama viti [emoji24][emoji24][emoji24]
Let it flow
Watu kumi na mbili wamelaiki hii kitu mpaka wakati nachangia, Serious? mme like kwa kum joki au mko serious? kweli watu wabaya sana, sasa hio ni studio ya Tv au studio ya kupiga picha? amakweli wahenga walisema jambo usilolijua nikama ...... Na hivyo vikamera vya kupigia video za harusi ndo vya kusifia hivyo?View attachment 572587 Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga. Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics),vifaa vya kukalia (maarufu kama viti),kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa,extension cables zenye urefu usioelezeka,acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.
Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
View attachment 572587 Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya macho na maskio ya mamilioni ya watanzania kuhamishiwa downtown Bongo kwa tukio kubwa namba mbili mwaka huu ,huku namba moja likiwa lile la usomaji wa ripoti ya mchanga. Mmiliki wa kituo hicho kikubwa cha televisheni amewaonesha mashabiki wake mashine kadhaa alizonunua Marekani na Ulaya zikiwa katika majaribio ya mwisho mwisho.
Baadhi ya mashine za kisasa zilizobahatika kutambulishwa na Lemutuz ni mashine maalum za kuongelea(mics),vifaa vya kukalia (maarufu kama viti),kamera za kisasa kabisa zenye uwezo mkubwa,extension cables zenye urefu usioelezeka,acs pamoja na mashine nyingine ndogondogo kama vifaa vya kunywea chai na super coffee.
Lemutuz amedai ubunifu na kila kitu kwenye studio yake kunaenda kubadilisha jinsi watu wamezoea kupokea habari na uenda ikawa ni revolution itakayodumu kwa miaka 100 ijayo.
Pia Lemutuz ametumia muda huo kuwaomba vijana waliomaliza vyuo vikuu kuanza kutuma maombi ya ajira katika kampuni hiyo kuwa ya utangazaji
Watu kumi na mbili wamelaiki hii kitu mpaka wakati nachangia, Serious? mme like kwa kum joki au mko serious? kweli watu wabaya sana, sasa hio ni studio ya Tv au studio ya kupiga picha? amakweli wahenga walisema jambo usilolijua nikama ...... Na hivyo vikamera vya kupigia video za harusi ndo vya kusifia hivyo?
Nahuo mtambaa hapo nyumba wa rangi ya CCm utafikiri ni studio ya kupigia picha za kuweka kenye kadi za chama chetu pendwa.
Ngoja tumuone Ayo.
![]()
Huyu jamaa le babuz angekuwa na mitambo kama hii si ingekuwa shida mujini?
![]()
![]()
lemutuz shikamoo kaka
Natamani nikutembelee nijifunze kitu kwako- Thanks boss ila bado hatujamaliza na vifaa weekend hii kuna vifaa vinakuja kutoka Nairobi, bado hatujaweka Computers za kazi hapa bado kidogo lakini tupo right on track
le Mutuz
Huyu babu ana matukio mengi ya kutia aibu.
Natamani nikutembelee nijifunze kitu kwako
Mkuu nitakutembelea- Karibu sana mkuu anaytime pia tunasubiri meza maalum za kazi zikifika tu tunaanza kazi, tupo kona ya Pamba Road na Sokione Drive. Tancot House 3rd Floor
le Mutuz
Usisahau ni kifaa cha kukorogea sukari kijikoUmesahau na vifaa vya kuandikia kwa jina lingine ni pencils na pen
Na siku ya uzinduzi kiumbe anayetajika sana al maarufu le mutuz atatumia kiungo cha kusemea yasni mdomo kutoa speech kali[emoji23][emoji23][emoji23] vifaa vya kukalia aka viti umenichekesha sana ndugu mwandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha..."eti extension cables zenye urefu usioelezeka" wakati kachumba kenyewe kana mita mbili.
kweli wanaume wa dar wanaishi kwa mipasho na chips mayai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnampa changamoto. Subirini itakuja kuwa kama BBC mtashangaa!