Mwanaume mashine; Pitia hapa uone mashine za kisasa kwenye kituo kipya cha TV cha Lemutuz

Pana point hapa
 
Hivi mleta uzi unajua vifaa vya kisasa au unapiga promo?!



Jaribu kuangalia television kama cnn,bbc au al jazeera uone kamera za studio zilivyo au nenda pale azam tv ukaone


Acheni utani jamani.
 
Amejitahidi na amekomboa vijana wasio na kazi
 
Mbona ipo kama ile studio ya zamani iliyokuwepo pale Kinondoni Studio miaka ya 73/74.?
 
Hizi changamoto za kebehi zitakuimairisha sana, zichukulie kama vile ka upepo flani unaokusukuma kwenye uelekeo sahihi.
Nijuavyo mimi maskini ana ujuaji mwingi ilhali hali yake anaijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…