Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Huwa nashangaa hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikuwa kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa.

Mimi kwakuwa ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakuwa na mwanaume lofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kuwa tajiri kama Mimi ataweza kweli.

Nikampa kimillion 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe lofa Ili watunze familia alinishukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekuwa Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na malofa Hawa masikini mtakufa na shida zenu sababu hawatobadilika.
Sasa nimeanza kuamini wewe ni lofa mara mbili! Kama hata wanawake masikini wanapata nafasi ya kuwa karibu na wewe kiasi cha kuzungumza hivyo, wewe ni lilofa tu! Huna mbele wala nyuma! Ni ngumu sana kwa masikini kumkaribia tajiri kama wanavyokuchezea wewe! Matajiri wanazungukwa na ma'body guards', wanaishi mitaa ya kitajiri siyo kama wewe kila wakati upo mitaa ya kichokoraa unaongea na wanawake masikini!, Wapo busy kutafuta hela, hawana muda wa kupoteza kuongea ongea na malaya kama ufanyavyo wewe! Wao hata wakimpenda dem fulani hutuma mtu akamtongozee!!
 
Sasa nimeanza kuamini wewe ni lofa mara mbili! Kama hata wanawake masikini wanapata nafasi ya kuwa karibu na wewe kiasi cha kuzungumzia hivyo, wewe ni lilofa tu! Huna mbele wala nyuma! Ni ngumu sana kwa masikini kumkaribia tajiri kama wanavyokuchezea wewe! Matajiri wanazungukwa na ma'body guards', wanaishi mitaa ya kitajiri siyo kama wewe kila wakati upo mitaa ya kichokoraa unaongea na wanawake masikini!, Wapo busy kutafuta hela, hawana muda wa kupoteza kuongea ongea na malaya kama ufanyavyo wewe! Wao hata wakimpenda dem fulani hutuma mtu akamtongozee!!
Tafuta hela binti hasira hazitokusaidia punguza kuandika gazeti
 
Kwa kanuni yako manake wanawake wa Tanzania hawataolewa, au watakaoolewa hawatafika 20%, Tanzania tupo wanaume wengi masikini na .malofa.
 
Back
Top Bottom