Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

We takataka wenye ela utatoka? we hakuna mwanamke atawahi kukupenda, kwanza ela huna na ukitumia ela zikiisha atasepa, sura bovu, akili huna, kingereza hujui, kusoma tabu, huna career ya maana, we unadhani una nini labda? watu wanapendana kwa shida na raha, nyie ndio mnaoa malaya, eti matunzo, ye gari? Sema nyie washamba muwe mnakaa vijijini kwenu tu. Ulimbukeni utawakost mjini.
 
Umeolewa Binti mbona hasira sana ?
 
Kama nawe humtegemea mwanaume ili utambe mjini huna tofauti sana na huyo mama ombaomba, ni mda tu unawatofautisha
 
Afu mbona watu mmechukulia serious sana hii post 😂😂😂
 
Huyu toka alivyojifunza neno “Tafuta hela” darasa la nne ikawa wimbo akiwa anatumwa dukani asisahau hence the repitition kila muda neno hilo hilo😏this generation may the one above have mercy on you…
 
Wewe ndio mwanaume lofa. Mwanaume mwenye hela hajitangazi. Hela zinampigia debe. Ukiona mwanaume anajisifia, jua hamna kitu. Tapeli anataka kutapeli wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…