Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Hamna kujinyonga wala nini...ni Upendo tu...usikariri maisha...Hao wanaowabembeleza ndio huwa wanajinyonga na ndio wakivurugana na wanawake zao na maisha yao yanaharibika kabisa ila sisi group O hiyo sio kesi sana kwetu coz ni waumini wa mitala