Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Hao wanaowabembeleza ndio huwa wanajinyonga na ndio wakivurugana na wanawake zao na maisha yao yanaharibika kabisa ila sisi group O hiyo sio kesi sana kwetu coz ni waumini wa mitala
Hamna kujinyonga wala nini...ni Upendo tu...usikariri maisha...
 
Hamna kujinyonga wala nini...ni Upendo tu...usikariri maisha...
Aya acha wawapende lakini uje ujaribu kumzingua kidogo uone reaction yake,mwingine analia yaani mbele ya mwanamke huu ugentleman cjawahi
Mm nmeshuhudia mara kadhaa jamaa kapiga mwanamke mara nyingi tena kamuumiza lakini hawaachani watu wanasema hao wako hivyo hivyo waache watapatana hadi serikali za mitaa wamewachoka ko upendo uko wa staili mbalimbali kwani hamkuwahi soma utafiti kwamba wanawake wanaamini mwanaume asipokupiga hakupendi? Wanawake wanapenda kupigwa wakati wanaume hatutaki ila tunalazimishiwa tuu
 
Huu uzi mbna umetarget kwangu? Jana nmegombana tupiana maneno sana na bibie tbh kosa ni mimi ila ubabe tu, ofcourse nili feel guilty sana
 
Mmmmmmmmh!!!! Mbona kama imefikia pabaya..
 
kuna mahala lugha laini haitakiwi kabisa najua arifu....lazima upime uone..sometimes kutokana na yeye kibano muhimu
 
Kweli mkuu nawaangusha maana nakosa uamuzi,ila nitatumia sister zangu wamface alafu wao ndo watanipa majibu kamili ili uamuzi wangu uwe kamili binafsi ninekua na huruma japo yeye hajali kuhusu mimi tena
FRESH MKUU
 

Hapo umenishitua, kuna siku bibie aliitumia hiyo intelligence kwa kuficha simu yangu, dah nilitafuta mpaka nikaomba poo ikabidi nimuulize tu ili hali nilipanga nipige kimya mpaka atakapo salimu amri
 
Yeah, kuishi na mwanamke kwa akili kuna mengi humo katikakati. I wouldn't say I'm so sorry directly, lakini kwa matendo yangu utajua nimeomba msamaha na najutia nilichofanya, lakini eti "samahani mke wangu, nisamehe"..teh nah nah!!

“ Nisamehe mke wangu “ BIG NO, udhaifu mkubwa sana kwa jinsia ya Me
 
Hapo umenishitua, kuna siku bibie aliitumia hiyo intelligence kwa kuficha simu yangu, dah nilitafuta mpaka nikaomba poo ikabidi nimuulize tu ili hali nilipanga nipige kimya mpaka atakapo salimu amri
Hivyo ndo vizuri hata kama hakuweza kusalimu amri directly aliamua atumie indirect way ya kutaka msuluhishe kwa kukufichia simu yako tofauti na yule ambaye mkigombana wewe unasema usubiri asalimu amri kumbe mwenzako anasubiri useme muachane ili kila mtu ashike hamsini zake
 
“ Nisamehe mke wangu “ BIG NO, udhaifu mkubwa sana kwa jinsia ya Me
Vitu ambavyo mnavuchukulia ni udhaifu ndivyo vitu ambavyo vitafanya ndoa idumu kwa amani usipende kumfanyia mwenzio yale ambayo wewe haupendi kufanyiwa

Kama wewe haupendi kuombwa msamaha ukikosewa basi na wewe ukikosea usiombe msamaha ila kama unapenda kuombwa msamaha ukikosea basi na wewe ukikosea omba msamaha
 
SEMA Inategemea kazingua nini kwa kiwwango gani kuna mengine arisu no kubembeleza...in such sio kubebmebelza kiivo akizingua yani unapima...ila mi huwa nabebmbeleza nikiwa kwenye UFISI MODE tehetehe

Vp ukiwa kwenye huo ufisi mode na una uhakika wa 100% there is no food
 

Ukwel mwanaume kuomba msamaha kwa maneno ni udhaifu mkubwa, fanya kuomba kwa matendo ili siyo kwa kujidharaulisha kihivyo
 

Anaye subiri muachane jua huyo hakufai na bora muachane mapema tu
 
[emoji3]daah...
Wanaume wa sikuizi hawabembelezi ukinyamaza basi
Anaweza kuchepuka na ukinuna kesi ikahamia kwako ukamuomba msamaha kwa kosa lake.
Kwani kuwa single Tsh ngapi maana ni zaidi ya mauzauza
 
Ila kwa experince yangu
Wanaume ni wagumu sana kuomba msamaha.
Mm mtu akinikosea nawish nimuone nimwambie live taratibu kuwa sipendi ichi sipendi hiki jibu utakalojibiwa sana hapo utaambiwa "sawa nmekuelewa yaishe" sio samahani, inauma ila utafanyaje sasa mana ukitegemea utaombwa msamaha.
Siku mwanaume akisema samahani ujue amekosea kweli kweli kiasi kwamba anahisi mahusiano yako hatarini kwa 90% kwa kosa alilofanya.
Lakini sisi wanawake hata ukiropoka "mjinga" unaomba samahani kama zote... ukiona husamehewi unaumwa na kuumwa homa ya kulazwa kabisa jinsi tulivyo desperate hasa kipindi cha magu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukwel mwanaume kuomba msamaha kwa maneno ni udhaifu mkubwa, fanya kuomba kwa matendo ili siyo kwa kujidharaulisha kihivyo
Imeandikwa wapi kwamba kuomba msamaha ni kujidharaulisha? Yaani kweli kabisa wanaume mnaona kuwaomba msamaha wake zenu ni kujidharaulisha? Kwani wake zenu ni miti au? Hivi kwani wanaume mnatuchukuliaje wanawake?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki ya nani wanawake aliyeturoga alishakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…