Nilimkaushia mtu wiki tatu,,
Siku ya siku sina hili wala lile nashangaa mtu night ametimba getto,,, wote tulicheka kwanza maaana kila mtu alimmiss mwenzie,, kwa hasira nika muuliza unapenda kula nn leo? Ooh nimemiss chips kuku,, ok twende sasa [emoji1]
Njian nikama watu tuliokuwa hatukuwa na bifu yoyote,,
Baada out kali mzee baba usiku wakati wa kulala nikaja kama nimesusia naniliu vile,, ila sasa kule chini pakatuna sanaa, alivojigeuza akakuta kitu kimenyanyuka ,,
Basi siendelei na story
[emoji1]