Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Mmmmh kazi tunayo
 
KE ni viumbe hatari sana, yani vimekaa kimajaribu jaribu wakati wote vikikubipu tu ili ukizubaa vikupande kichwani.

Hongera sana kuwa ME wa mkoani Chifu.
 
Usifanye kosa kukiri kosa mbele ya mke wako na kumuomba msamaha wazi wazi......huo msamaha utakua wimbo wa kila siku atakua anakukumbusha kila unapo kosea kidogo na pia atasimulia wazanke kama alivo kushika na kukusamehe.........mimi naseme hivi, mke wangu hata akinifumania ntakataa kata kata....sikua mimi, namimi najishangaa kua hapa, kuna mtu anatuchezea mke wangu.....hapo ntamletee na zawadi nono kama alikua na endesha ist nta mnunulia Rv4 single doar hilo litaisha hamna mkati mgumu ndani ya chai......
 
State in which the rate of the forward reaction equals the rate of the backward reaction.

Wakisema uvumilivu uwe kote kote...wakisema msamaha ni kote kote.Isiwe mmoja kwa sababu tu upande flani unataka wenyewe tu.

Kila anayekosewa anastahili kuombwa msamaha na ndio upendo huo.Hata wanaume nao wanapenda kusikia na kufanywa kuonekana wana umuhimu pia.
 
Kuna rafiki yangu mmoja anawaambiaga wanaume wenzie ukiona mmegombana na mkeo akakununia wewe nenda kakaze mifuniko yote ya ndoo ndani kwenu yaani hakikisha umekaza kwa nguvu hadi anashindwa kufungua

Au mfichie vitu vyake vya muhimu na hakikisha umeficha sehemu ambayo hawezi kuviona yaani kwa namna yoyote ile akikosa msaada lazima atakuja tu kukuongelesha kukuomba umsaidie

Sasa alivyosema hivyo angalau nikaona kuwa huyo ni mwanaume kweli hata kama hawezi kukufuata kukubembeleza basi atatafuta tu namna ya wewe kuja kumuongelesha yaani angalau ataonyesha jitihada za kutaka msuluhishe na mwanamke ukiona hivyo unajiongeza

Kuliko yule mwanaume ambaye mkigombana unakuwa ndo umempata nafasi ya kwenda kulala nje ya nyumba yenu miezi na mchepuko na usipomsemesha ndo nitolee hiyo yaani hata yeye haonyeshi jitihada yoyote ya kutaka umuongeleshe aise kuna midume ina gubu halafu mtoto wa kiume kususa au kununa haipendezi jamani looh
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16]
 
Hahaaa...unaachaje kuwa ktk hii mada?

Asante sana Mama [emoji120][emoji28]
 
Kwenye mahusiano na maisha ya kawaida neno NAOMBA UNISAMEHE huwa lina maana sana. Hata ukilitamka kwa kumaanisha unahisi kabisa thamani yake.

Kwenye mahusiano pakiwa na tofauti lazima mmoja ajishushe ndo maisha yanaenda kwa furaha. Umekosea basi tambua nafasi yako katika mahusiano omba msamaha wala haitogharimu chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…