ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Tunajua udhaifu wa mwanamke uko wapi, tunaongea kutumia uzoefu bidada...Hapo ndo mnapokosea sasa! Kama umekosea kweli kwa nini usiombe msamaha eti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua udhaifu wa mwanamke uko wapi, tunaongea kutumia uzoefu bidada...Hapo ndo mnapokosea sasa! Kama umekosea kweli kwa nini usiombe msamaha eti!
Umeanza vizuri ila ulivyomalizia woga ndo umeharibu!Usemalo nilakweli kabisaaa..
Tatizo nyinyi wadada wa dot.com hamjui/kujifunza namna yakuzima ugomvii mnataka kujifananisha na mwanaume, hapo ndipo kisanga huanzia..
Mwanaume hafananishwi na kitu chochote kile sawa na mwanamke vilevile..
Jueni nafasi zenu si kushindana..
Yeah, kuishi na mwanamke kwa akili kuna mengi humo katikakati. I wouldn't say I'm so sorry directly, lakini kwa matendo yangu utajua nimeomba msamaha na najutia nilichofanya, lakini eti "samahani mke wangu, nisamehe"..teh nah nah!!Khaaaah!!
Eti huu ndio urijali[emoji134][emoji134]
Bora niwe na asie rijali tu nijue moja.
Inawezekana vipi lakini mtu mnanuniana na mnalala kitanda kimoja?Mama si afadhali wewe unaongelea hata ulie na malengo nae, wenzio ni wanandoa kabisaaaa na wananuniana na wanajisifia kununa(tena wanaume[emoji134])
Wengine anakosea yeye halafu anataka uombe msamaha wewe.
[emoji8]Nakuwowa mpenzi.
hakika hili ndilo nililokuwa nalingoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaa bora tuwe na wanaume wasio marijali tu kwa kweli yaani nikubali kuteseka kwenye ndoa eti ili mradi tu nionekane nimeolewa na mwanaume rijali, nahi karungi.Khaaaah!!
Eti huu ndio urijali[emoji134][emoji134]
Bora niwe na asie rijali tu nijue moja.
Kama umenikosea na usiniombe msamaha sidhani kama utakuwa unafanya fair..Tunajua udhaifu wa mwanamke uko wapi, tunaongea kutumia uzoefu bidada...
Easier said than done! Tafakari maisha yako na ndugu wa damu yalivyo, yachukue yaishi ndani ya nyumba na mtu mliyekutana ukubwani, ain't easy my dear!Inawezekana vipi lakini mtu mnanuniana na mnalala kitanda kimoja?
Mie naonaga kama maigizo vile dear
Siwezi kuacha kuwepo na ukiona nimekosekana kwenye mada nyingine kama hizi basi naomba unitag niendeHahaaa...unaachaje kuwa ktk hii mada?
Asante sana Mama [emoji120][emoji28]
yani nyie wanawake mnazingua sasa, kila kitu afanye mwanaume, hela akupe na msamaha aombe yeye kwa makosa yako, kwa hivyo utasubiri sanaIla kwa kawaida tunategemea mwanaume ndo ambembeleze mwanamke baada ya ugomvi,na sio kujishusha
Sasa hao ndo wanaendana na wanaume wao wa mikoaniKuna wanawake wenye gubu kari hatakusemesha hadi mwezi uishe hata ufichi chupi yake......hasa wanawake wa mikoani wanamisimamo mikali sanaa hawana smile au jokes akiamuwa ameamuwa tu
NopeEasier said than done! Tafakari maisha yako na ndugu wa damu yalivyo, yachukue yaishi ndani ya nyumba na mtu mliyekutana ukubwani, ain't easy my dear!
Kwenye mahusiano ya boyfriend na girlfriend au mahusiano yoyote yale lazima kunakuwepo na kuhitilafiana kwa hapa na pale
Linapokuja suala la kugombana ya wawili hao kinachofuata ni kusuluhishana mambo yaishe mapenzi yaendelee
Kunapotokea ugomvi wa kimahusiano sio siri sisi wanawake huwa tunaumia sana,na huwa tunapenda mahusiano yazidi kuwepo hasa kama uliyenaye ni yule wa moyo wako
Katika hali hiyo tunategemea mwanaume amuonyeshe mpenzi wake pamoja na kugombana bado anampenda na anampenda sana
Hapa tunamtegemea mwanaume baada ya kugombana,baada ya SAA moja mwanaume atakuwa na jukumu la kuweka mahusiano sawa,kwa kumtumia text za hapa na pale,za kumbembeleza mwanamke hata kama mwanamke ndo alikuwa na makosa,haijalishi nani kaanzisha ugomvi ila mwanaume ana jukumu kubwa la kuweka mahusiano sawa
Kwa sasa hali imebadilika sana kwa hawa wanaume,mnagombana,mnamaliza hata siku mbili hakutumii text,wala kukupigia sim,na kama mwanamke ataendelea kupiga kimya,kinachofuata ni mwanaume kuanza kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo hazieleweki,mara aweke za mwanamke fulani,mara aweke za wanawake na status kibao,au akae online muda mrefu ambapo si kawaida yake
Unabaki unajiuliza ina maana mahusiano yameisha,mbona sielewi,mapicha picha ya nini tena
Ukweli ndo huu,tunapogombana na ukamaliza masaa 2 bila kutuma sms au kupiga sim hata kuulizia kitu fulani,yaani huwa tunaumia sana
Na kama tangu ugomvi yamepita masaa 5 hujatuma sms, huwa tunahisi kuchanganyikiwa,sms inaingia unadhani ni baby kumbe za watu wengine au mitandao maumivu huwa yanatuzidi
Nyie wanaume acheni kuwatesa wawapendao,hamjui tu tunavyoumia
Ndo maana muda mwingine unasema bora usiwe kwenye mahusiano
Tubembelezeni basi baada ya ugomvi,hata kama sisi ndo wakosaji au hata kama ni nyie wakosaji
Mkibembelezwa mnajikutaga keki anyway inategemea na navyompenda napia ushirikiano wake ukojeKwa nini ukaushe na huku wew ndo kichwa?
upo mwanaharakati!Kuna rafiki yangu mmoja anawaambiaga wanaume wenzie ukiona mmegombana na mkeo akakununia wewe nenda kakaze mifuniko yote ya ndoo ndani kwenu yaani hakikisha umekaza kwa nguvu hadi anashindwa kufungua
Au mfichie vitu vyake vya muhimu na hakikisha umeficha sehemu ambayo hawezi kuviona yaani kwa namna yoyote ile akikosa msaada lazima atakuja tu kukuongelesha kukuomba umsaidie
Sasa alivyosema hivyo angalau nikaona kuwa huyo ni mwanaume kweli hata kama hawezi kukufuata kukubembeleza basi atatafuta tu namna ya wewe kuja kumuongelesha yaani angalau ataonyesha jitihada za kutaka msuluhishe na mwanamke ukiona hivyo unajiongeza
Kuliko yule mwanaume ambaye mkigombana unakuwa ndo umempata nafasi ya kwenda kulala nje ya nyumba yenu miezi na mchepuko na usipomsemesha ndo nitolee hiyo yaani hata yeye haonyeshi jitihada yoyote ya kutaka umuongeleshe aise kuna midume ina gubu halafu mtoto wa kiume kususa au kununa haipendezi jamani looh
Wanaume wa kuwambeleza kila wakati waliisha awamu ya Kikwete. Siku hizi ukiendekeza utoto unapata unachostahili.Kuna rafiki yangu mmoja anawaambiaga wanaume wenzie ukiona mmegombana na mkeo akakununia wewe nenda kakaze mifuniko yote ya ndoo ndani kwenu yaani hakikisha umekaza kwa nguvu hadi anashindwa kufungua
Au mfichie vitu vyake vya muhimu na hakikisha umeficha sehemu ambayo hawezi kuviona yaani kwa namna yoyote ile akikosa msaada lazima atakuja tu kukuongelesha kukuomba umsaidie
Sasa alivyosema hivyo angalau nikaona kuwa huyo ni mwanaume kweli hata kama hawezi kukufuata kukubembeleza basi atatafuta tu namna ya wewe kuja kumuongelesha yaani angalau ataonyesha jitihada za kutaka msuluhishe na mwanamke ukiona hivyo unajiongeza
Kuliko yule mwanaume ambaye mkigombana unakuwa ndo umempata nafasi ya kwenda kulala nje ya nyumba yenu miezi na mchepuko na usipomsemesha ndo nitolee hiyo yaani hata yeye haonyeshi jitihada yoyote ya kutaka umuongeleshe aise kuna midume ina gubu halafu mtoto wa kiume kususa au kununa haipendezi jamani looh
Tatizo ni pale kila siku anayejishusha ni yule yule hata kwa kosa lisilo lake.Kwenye mahusiano na maisha ya kawaida neno NAOMBA UNISAMEHE huwa lina maana sana. Hata ukilitamka kwa kumaanisha unahisi kabisa thamani yake.
Kwenye mahusiano pakiwa na tofauti lazima mmoja ajishushe ndo maisha yanaenda kwa furaha. Umekosea basi tambua nafasi yako katika mahusiano omba msamaha wala haitogharimu chochote!
Kwa hiyo umesikia ss ndo tuna mioyo ya chuma ambao hatutaki kubembelezwa, ujinga ufanye ww halafu nikubembeleze Tena, badae unajisifu kwa shoga zako jamaa Hana usemi kwangu , hata nifanyaje hawezi chomoka, utakua ni upuuzi wa hali ya juuKwenye mahusiano ya boyfriend na girlfriend au mahusiano yoyote yale lazima kunakuwepo na kuhitilafiana kwa hapa na pale