Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Mi nina msichana kwa ukweli nilimkosea mimi yeap kuna jambo nilifanya nikamficha akaja kugundua mwenyewe kwa kuambiwa na rafiki yangu, walai nimemuomba radhi +msamaha +bembeleza kwa miezi 3 mikavu akaja akanisamehe tukaendelea haa baada ya muda akaja akalianzisha tena lile swala kama volcano ,nimemuomba msamaha huu mwezi wa sita sasa mkavu haelewi anaclaim niachane nae ibaki salam, bado sijatoa uamuzi namuomba msamaha haelewi
 
eeeh nyuzi kama izi huwezi kudukuliwa miaka elfu 80....ni mwendo wa mapenzi,papuche,,kugegeda...aiseee
 
Nyie mmeshakua wahenga

Taabu za hivi tunazipata sisi na hawa mademu wakuza matako
 
Kuna wanawake wengine wana upumbavu wa hali ya juu hasa kutokana na ujinga wanaojazwa mitandaoni.

Yeye afanye kosa halafu ME aombe samahani, upuuzi huo hapana kabisa.

Wengi hatuoni shida kuomba samahani pale tunapokosea lakini msitulazimishe kuomba samahani pale ambapo hatujakosea.

 

Wapo wanaobembeleza
Kalale mtaan mwenzio anakunwa kiroho safi
 

Toa maamuzi brother
Mtu anaekupenda atakaza siku moja ya pili yeye mwenyewe anajirudisha

Huyo wa miezi amekufanya option
Kuna mahali anasoma ramani
Zikikataa atarudi kwako
 
Mwanaume haombi samahani kwa kusema "NAOMBA NISAMEHE"

Atake asitake khnisamehe lazima tu,hivyo namuambia NISAMEHE sio eti NAOMBA UNISAMEHE..?

Ina maana ni hiari yeye anisamehe?

Lazima asamehe hakuna kubembeleza eti
 
Duh! Kashakuchoka huyo alikuwa anatafuta sababu muachane na alipoikosa ameamua kufukua kaburi makusudi.
 
Yaani ugomvi uanzishe wewe halafu kubembelezwa tena uwe wa kwanza? Hii hadithi kakufundisha nani?

Basi njoo nikubembeleze. Nina uzoefu wa kutosha

Cc Asprin Sky Eclat Atoto
Hommie hii tabia ya kuniita kwenye mambo ya watoto imeanza lini? Hivi enzi zetu unagombana na Sky Eclat afu eti uanze kumtumia sms za kuomba msamaha hata kama yeye ndo kakukosea...... zile simu mpaka uende RTC ukazungurushe zilikuwa zina option ya kutuma sms??
 
ila wewe unataka akuambie naomba unisamehe bhagosha

kwani tofauti iko wapi jamani?

wote si mna mioyo ya nyama jamani au?

afu kuna utofauti wa maumivu ya kihisa ambayo mwanaume au mwanamke anaweza kupata?

afu ni kwa logic gani unatumia kusema mwanamke kukusamehe ni lazima?

msamaha huwa unalzimishwa?
 
pole mkuu Colin morgan mistakes do happen for us to learn

sorry is the hardest word to say,but its also the most peace making word.
 
Tatizo sisi tuna mademu wengi ukikausha natafuta demu wangu mwingine najipigia ngozi maisha yanaenda
msichokijua wanamme ni kwamba wadada pia ni waamini wa wakaka wengi ni vile tu hawaoni kama ni sifa kujitangaza kama wanamme wanavyofanya,so kama unajiaminisha eti hubembelezi kwa kuwa una mademu wengi jua kabisa na mwenzio habembelezi kwa sababu anao wengi na moyoni mwake wewe ni subsidiary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…