Mwanaume mbembeleze mwanamke baada ya ugomvi, mtatuua kwa stress

Duh! Kashakuchoka huyo alikuwa anatafuta sababu muachane na alipoikosa ameamua kufukua kaburi makusudi.
Forreal mkuu maan ilikua ishu ishaisha kabisa nami nikajicomit nafsin mwangu kwamba sitamkosea japo mungu namkosea ila yeye nilisema hayastahili ninayoyafanya nikaacha na kucheat nikafuta kabisa ktk ratiba zangu haah alivyokuja nitibua tena ndo mawee
 
bora iwe hivyo maana mahusiano ya leo akikosea halafu uanze kumbembeleza yeye anakuona fala kesho anafanya tena na ka dharau moyoni anasema '' ataniitafuta yule anajifanya tuu sasa hivi''
 
Kwa hyo wewe ukiomba msamaha manake una maanosha akitaka atakusamehe na asipotaka potelea mbali au unaomba msamaha kutaka usamehewe mukuu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama umeniona vile. Naweza Nuna hata mwezi. Niliachana na mrembo mmoja hivi hivi. Ana kakiburi fulani hivi. Nikakausha na yeye akakusha. Mara wiki mara mwezi.
Mwisho wake ulikuwaje?
 
Ukosee halafu nikubembeleze huu upuuzi sifanyi...

Sifugi ujinga,mwanamke Ni Kama mtoto sasa mtoto akosee halafu mzoeshe kumbembeleza uone kama siku hajasema mamyyyy bitchhh.
 
Yani unikosee wewe niombe msamaha/nikubembeleze mimi, huo ujinga sifanyi maana kama umekosea wewe usipoomba msamaha maana yake ujaligundua kosa lako na kama umeligundua maana yake hutaki kujishusha au hauthamini mahusiano, hii kitu ina sound kama one side relationship..
Wanaume wote wenye uwezo wa kufanya hichi kitu wataiona pepo [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wacha kutreat "boyfriend"/wanaume km homogeneous entity.

Mwanamke akinuna akitegemea nimuongeleshe atasubiri mpaka ukamilifu wa dahari.
Huwa wanapiga kimya mwenyewe mwisho anaanza"nimekumiss,sorry kwa kilichotokea"

Juzi kati kuna dem 1 kajifanya kanuna siku ya 1,2,3...5.Wkend naona txt hii"kama hunitaki bora uniambie kuliko unavyonifanyia".Tukosetle kama kawa mahaba yanaendelea.

Nishasema siwezi umia kiwaki kwa demu,kuz ninao wakutosha huyu akizingua kidogo ujue ndo amejitoa kwenye mstari kama atakaza ajue simtafuti tena,simtamkii demu nimekuacha labda aniache yeye,na hata tukiachana mwisho wa siku ataniletea kazi(papuchi) tu.Nyoka atarudi shimoni tu kuz ndo nyumbani kwake.
 
Anzeni nyie kutubembeleza kwanza,halafu tukiona haijakaa vizuri na sisi tutaanza muwabembeleza...
 
😂😂😂😂 Sasa mimi ndio niko hivyo usitegemee ntakusemesha kwamba yaishe yaani nikikusenesha nauliza jambo la msingi ukizingua unakula Mikanda afu nasepà kesho narudi nakusemesha tena ukinyenyua mdomo unakula Mikanda ukithubutu kunirudishia jipange na kujibizana huwa siwezi na huwa niko wazi ukiona umechoka kuishi fungasha usepe au nambie nikusindikize,binafsi huwa silembeshi mwanamke nabembelezaga napotongoza tuu
 
Hahaha dahh!!! Kwamba ana nuna makusudi kila zinapofika tarehe za salary. .Aise makusudi mengine bwana
 
Hahaha kazi sana aise
 
Kuna wanawake wenye gubu kari hatakusemesha hadi mwezi uishe hata ufichi chupi yake......hasa wanawake wa mikoani wanamisimamo mikali sanaa hawana smile au jokes akiamuwa ameamuwa tu
Anune lakini apike afua sina shida hata mwaka akauke tuu ila asipofanya hayo achague kuondoka au ale bakola sasa ni yeye unichezee wakati pesa ninazo mimi huwezi
 
cutelove mamy hivi unajua hata wao wanaumia tena zaidi ya sisi???? Tofauti ni kua tu wao hawajionyeshi hawataki kuonekana wako dhaifu ila niamini wanaumia mnooooooo
Tatizo sie wanawake hatuna uvumilivu. Tukigombana baada ya dakika unamtext "kwa hiyo ndo tumegombana" hujakaa sawa kabla hajakujibu unamwandikia " it's over usinitafute na namba yangu futa" ukikaaa tena unamuuliza " hivi unajua nimeumia" Kwa kifupi wanawake tunakosa utulivu na uvumilivu tunakua wasumbufu hadi mwanaume anakereka anaamua kukaa kimya mwisho unajiona mjinga unaanza kujishusha .
cutelove we mkigombana tulia usiwazeeee wala usimtafute atakufata na atakubembeleza. Waishatuzoea sie ndo wakuawaanza ila ukikaa kimya ataona wivu kichwa hakitatulia mwisho atakutafuta na kujiongelesha.
 
Nilichogundua ni kwamba wanaume hii akili ya kwamba "wanawake wapo tu" ndo inawapa kiburi cha kuachana na wanawake zenu muda wowote mnaojisikia kwa mawazo ya kwamba "nitapata mwingine tu" yaani mfano mkeo anakwambia kiustaarabu tu kuwa rekebisha tabia yako fulani siyo nzuri

Wewe badala ya kurekebisha hiyo tabia unamwambia akuvumilie tu kama hataki aondoke utatafuta atakayeweza kuvumilia kwa sababu una uhakika utapata tu yaani nashindwa kuelewa mwanaume anahangaika kabisa kutafuta mwanamke atakayeweza kuvumilia maovu yake wakati yeye mwenyewe tu hawezi kuvumilia mapungufu ya mwanamke wake yaani wanaume ni viumbe wabinafsi sana
 
Juzi kati wangu tulipapurana kidogo kwa kuluniletea kazi yake ya shule nimsaidie na ili kuwa anaipeleka baada ya mda mchache mbele nikamuuliza kwanini ukachelewa kuleta sijui mara hivi hivi sasa nilikuwa ninaongea kwa ukali na yeye ndiye aliyesababisha niongee kwa ukali akanambia basi naenda zangu sitakitena. Nikamwambia haya wewe nenda zako nikasema kimoyomoyo kwamba siendi kwao tena maana ninakawaida ya kuenda.


Ebwanaaaaeeee usiku napokea SMS ya dadaa yake ya kuwa fulani yupo hospital anumwa.

Nikampigia simu hajiwezi hata chembe. Leo niya nne anaumwa kwahiyo namuuguza kila siku naenda kwao.


Sijui kilichomsibu nini.
 
Mwanamke ni kama kijana anayebalehe kiburi,majaribu ili tu unipime afu mdomo na uzembe,hayo uliyoandika hapo juu ni yako sio ya wanaume,simply tu wanaume tunataka utii tuu
 
😬😬😬😬
 
Kumwambia mtu neno ni samehe huwa lina leta kaugumu flan hv hasa boy namwambia girl ani samehe kwa kipi hasa labda me mwenyewe tu niwe nime kosa kweli hapo nita jishusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…