Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Mwanaume kuwa na mke mmoja changamoto ni pale anapokuwa kwenye siku zake au akiwa amejifungua na ww ukawa na uhitaji ndo hapo unapoona Kwann kuwa na mke zaidi ya mmoja Huwa inasaidia
Unavyoongea sasa utazani huo uwezo wote wanao, wakati wengi wao ni tia maji tia maji
 
Halafu hao watoto usizani wanakuwa wote wake wengine anakuwa kasaidiwa kuongeza idadi ya watoto kwenye familia yake.
 
Ukiona mwanaume ana mwanamke mmoja tu, Jua anasumbuliwa :-
1. Afya mgogoro
2. uchumi mbovu
3. Hofu Sana ya Mungu

Au vyote Kwa pamoja
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria 300
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria 300
Ni kweli tukiangalia mabadiliko ya mfumo wa maisha na kuongezeka kwa matukio mabaya nazani mwanaume kuwa na mke mmoja anatosha katika kipindi hiki kuna sababu nyingi jiongeze.
 
Ni kweli tukiangalia mabadiliko ya mfumo wa maisha na kuongezeka kwa matukio mabaya nazani mwanaume kuwa na mke mmoja anatosha katika kipindi hiki kuna sababu nyingi jiongeze.
Huko tuendako hata huyo mmoja itakuwa ngumu
 
Umejenga nadharia tete ya ki-wack:

(a) IQ ya mwanaume "bachelor" > IQ ya mwanaume mwenye mke mmoja
(b) IQ ya mwanaume mwenye mke mmoja > IQ ya mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja
(c) IQ ya mwanaume "bachelor" > IQ ya mwanaume mwenye (m/wa)ke 1/2/3/4/5/6/7/8/9+

So lame 🥱

#Conclusion: IQ is unequivocally unrelated to marital status
 
Sorry, ila uwezo wako wa kujenga hoja[reasoning] ni mdogo sana.
 
Sasa kama wanawake ni tofauti kwanini wake za watu wanachepuka kwasababu hao wasio jua kujizuia wanashindwa kutulizwa humo ndani?
Ukiona mkeo anatafuta mwanaume mwingine wa nje ujue wewe ni dhaifu humtoshelezi kimwili au kiuchumi vinginevyo haiwezi kutokea hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…