Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Mwanaume kuwa na mke mmoja changamoto ni pale anapokuwa kwenye siku zake au akiwa amejifungua na ww ukawa na uhitaji ndo hapo unapoona Kwann kuwa na mke zaidi ya mmoja Huwa inasaidia
Unavyoongea sasa utazani huo uwezo wote wanao, wakati wengi wao ni tia maji tia maji
 
Nchi zenye viwango vya juu vya elimu, kipato na utajiri kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza kuwa na idadi ya chini zaidi ya wanaume waliooa mke zaidi ya mmoja, japo sheria zao kama nchi ya kiislamu zinawaruhusu.

Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa wanaume kuoa wanawake wengi zote ziko Afrika, wana dini moja inayoongoza na ni maskini kupitiliza.
  1. Burkina Faso: 36%
  2. Mali: 34%
  3. Gambia: 30%
  4. Niger: 29%
  5. Nigeria: 28%
Inatafakarisha 🤔

mbu wa dengue kwani ni nyie waafrika tu ndiyo mna huo uhitaji uliokithiri wa ngono?
Halafu hao watoto usizani wanakuwa wote wake wengine anakuwa kasaidiwa kuongeza idadi ya watoto kwenye familia yake.
 
Ukiona mwanaume ana mwanamke mmoja tu, Jua anasumbuliwa :-
1. Afya mgogoro
2. uchumi mbovu
3. Hofu Sana ya Mungu

Au vyote Kwa pamoja
 
Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja anatosha kwenye kila kitu unajua Mwanaume kamili unaejielewa lazima ufikiri mke mmoja anatosha lakini mwanaume ulie dhaifu unae endeshwa na tamaa za mwili na uzinzi huna uthibiti wa uwanaume wako ni dhaifu na una IQ ndogo ndio sababu ya kutaka wanawake wengi.

"mwanaume mmoja mwili mmoja na mwanamke mmoja mwili mmoja" huyu alieanzisha habari za wanawake wengi na wao wanao fuata ni wanaume dhaifu sana.
Mfalme Suleiman alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria 300
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake halali wa ndoa 700 na masuria 300
Ni kweli tukiangalia mabadiliko ya mfumo wa maisha na kuongezeka kwa matukio mabaya nazani mwanaume kuwa na mke mmoja anatosha katika kipindi hiki kuna sababu nyingi jiongeze.
 
Ni kweli tukiangalia mabadiliko ya mfumo wa maisha na kuongezeka kwa matukio mabaya nazani mwanaume kuwa na mke mmoja anatosha katika kipindi hiki kuna sababu nyingi jiongeze.
Huko tuendako hata huyo mmoja itakuwa ngumu
 
Umejenga nadharia tete ya ki-wack:

(a) IQ ya mwanaume "bachelor" > IQ ya mwanaume mwenye mke mmoja
(b) IQ ya mwanaume mwenye mke mmoja > IQ ya mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja
(c) IQ ya mwanaume "bachelor" > IQ ya mwanaume mwenye (m/wa)ke 1/2/3/4/5/6/7/8/9+

So lame 🥱

#Conclusion: IQ is unequivocally unrelated to marital status
 
Kwa nini hupigi vita ushoga?Kwa nini hupigi vita watu kuwa na michepuko mingi ilhali nyumbani kwao wanajua mwanamke wake ni mmoja?
Hilo la kukataza watu kuoa wanawake wengi officially lina impacts gani kwa jamii?
Kama kweli wewe ni genius nijibu maswali yafuatayo kwa ufasaha vinginevyo bora ufute hilo jina kwenye ID yako.
1.Ni sababu zipi hufanya majority ya wanaume kuchepuka na ilhali wameshaoa tayari?
2.Je unajua kwamba wanawake waliumbwa tofauti na sisi kibaiolojia yaani wenyewe wana mzunguko wa hedhi ila wanaume hatuna excuse yoyote kwa mfano mwanaume hata akiwa amelazwa hospitali na mguu umening'inizwa kwa vyuma akiona uchi tu mashine inasimama na akipewa atatafuta staili yoyote ili mradi apewe apenyeze ila hawezi kukataa kamwe.
Sasa swali linakuja je zile siku za wiki ambazo mwanamke anakuwa kwenye hedhi na mwanaume amepata hisia na anahitaji lazima apate inatakiwa afanyeje au aende wapi ili kujitosheleza kimwili?
3.Je unajua kwamba hata wanyama wa kiume huwa hawatosheki na mwanamke mmoja kwa sababu za kimaumbile,je nikisema hawa wanyama wamekuzidi maarifa nitakuwa nakosea?
Sorry, ila uwezo wako wa kujenga hoja[reasoning] ni mdogo sana.
 
Sasa kama wanawake ni tofauti kwanini wake za watu wanachepuka kwasababu hao wasio jua kujizuia wanashindwa kutulizwa humo ndani?
Ukiona mkeo anatafuta mwanaume mwingine wa nje ujue wewe ni dhaifu humtoshelezi kimwili au kiuchumi vinginevyo haiwezi kutokea hilo
 
Back
Top Bottom