Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

Waarabu wa wapi hao ambao hawaowi wake wengi?lakini ikumbukwe kwenye maandiko tumeambiwa tuoe wake wengi kama tunawamudu kwa tendo la ndoa na kiuchumi haikusemwa kwamba kila mtu lazima aoe wake wengi,utakuta mwingine hata nguvu za kiume hana anafosi kuoa wake wengi hapo sasa ndipo wanapokiuka na kuwa vurugu.
mungu aliumba vitu viwili viwili wake wengi wewe unataka uwapeleke wapi
 
Nchi zenye viwango vya juu vya elimu, kipato na utajiri kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza kuwa na idadi ya chini zaidi ya wanaume waliooa mke zaidi ya mmoja, japo sheria zao kama nchi ya kiislamu zinawaruhusu.

Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa wanaume kuoa wanawake wengi zote ziko Afrika, wana dini moja inayoongoza na ni maskini kupitiliza.
  1. Burkina Faso: 36%
  2. Mali: 34%
  3. Gambia: 30%
  4. Niger: 29%
  5. Nigeria: 28%
Inatafakarisha 🤔

mbu wa dengue kwani ni nyie waafrika tu ndiyo mna huo uhitaji uliokithiri wa ngono?
hivi wanawake mnajisikiaje siku mkiwa mnaolewa,

kwasababu mmekaririshwa sana kwamba "mwanaume rijali lazima achepuke"

sio kwamba mnaona ndoa ni mbio za sakafuni?
 
Rudia tena kusoma reply yangu kwa utulivu, ulichokijibu ni sehemu ya nilichoandika “nchi maskini kuliko zote ndiyo wanaooa wake wengi zaidi, Nigeria ikiwemo kwenye list” na nchi zinazoongoza duniani, zote ziko Afrika.

Hata hao waarabu wenye dini yao waliowaleteeni nyie huku hawaoi wake wengi, sasa nyie ndiyo mnaijua zaidi dini au ni chembechembe za umaskini wa kufikiri pia.
Ukiona uke wenza mgumu,achika, endelea kudanga mpaka umpate wa peke yako,aliyekwambia uislam ni mali ya waarabu nani!?..unaamini waarabu wanaujua na kuufuata uislam kuliko muislam asiye mwarabu?.. suala la kuoa wake wengi halihusiani na elimu na utajiri,elon musk ana elimu na utajiri,ana mke na watoto 13 toka kwa wanawake tofauti,wakuu wa hizo nchi za kiarabu Wana mke zaidi ya mmoja,kuoa aoe mwingine uumie wewe,ujinga
 
Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.

Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja anatosha kwenye kila kitu unajua Mwanaume kamili unaejielewa lazima ufikiri mke mmoja anatosha lakini mwanaume ulie dhaifu unae endeshwa na tamaa za mwili na uzinzi huna uthibiti wa uwanaume wako ni dhaifu na una IQ ndogo ndio sababu ya kutaka wanawake wengi.

"mwanaume mmoja mwili mmoja na mwanamke mmoja mwili mmoja" huyu alieanzisha habari za wanawake wengi na wao wanao fuata ni wanaume dhaifu sana.
Mleta hoja sidhani kama umeoa, na kama umeoa basi ndoa yako itakuwa chini ya miaka mitano. Ungekuwa mzoefu kwenye ndoa ungeutafakari zaidi ujumbe wako pengine ungekuja na ujumbe bora zaidi. Kwa uzoefu wa kawaida tuu wa mtaani ukiachana na u-genius, kwanini wanaume wenye mke mmoja wanakufa mapema kuliko wenye wake zaidi ya mmoja? Kama hujui chunguza jambo hili Utakuja kunishukuru baadae. Au angalia jamii nyingine za wanyama na uchunguze uwiano wa madume na majike halafu ukajenge hoja yako vizuri zaidi. Asante
 
Kaangalie sensa uwiano uliopo kati ya me vs ke then ujeuseme mmoja mmoja au muendelee kuchapiana au kubakie siri ya kuchapiana
Kwa sensa ya tanzania wanawake wametuzidi milion 1. (Sababu inaweza kuwa sisi tunakufa mapema tunawaacha wakidunda) kwa sensa ya dunia wanaume tumewazidi wanawake . Inatafakarisha. Mambo ya uwiano hayasapoti hoja mkuu
 
Andika nadhani sio nazani.😉😉😉😉 Sasa kuandika vizuri hujui nguvu za kuhudumia wanawake wanne utazitoa wapi? NB: Iam a woman.
iam woman ❌
i am woman ✅
i'm woman ✅

Nakushauri tafuta mwanaume mmoja mzuri mstaharabu anae kutosheleza akuowe uache kutumiwa tumiwa na wanaume hovyo hovyo so negative.
 
Nchi zenye viwango vya juu vya elimu, kipato na utajiri kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza kuwa na idadi ya chini zaidi ya wanaume waliooa mke zaidi ya mmoja, japo sheria zao kama nchi ya kiislamu zinawaruhusu.

Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa wanaume kuoa wanawake wengi zote ziko Afrika, wana dini moja inayoongoza na ni maskini kupitiliza.
  1. Burkina Faso: 36%
  2. Mali: 34%
  3. Gambia: 30%
  4. Niger: 29%
  5. Nigeria: 28%
Inatafakarisha 🤔

mbu wa dengue kwani ni nyie waafrika tu ndiyo mna huo uhitaji uliokithiri wa ngono?
Ubarikiwe kwa hii nyundo dada
 
Nadhani mwanaume mmoja anatakiwa kuwa na wanawake wawili, mmoja mke wake, na mwingine ni mchepuko, inasaidia mengi sana na mchepuko ajue kuwa umeoa
Ukienda Kwa mchepuko na mkeo huku anakuwa mchepuko wa mwingine, maana muda anakusubilia wewe unavinjari na mchepuko wako, na yeye hukk wanamchepukia wengine.
 
Kwa nini hupigi vita ushoga?Kwa nini hupigi vita watu kuwa na michepuko mingi ilhali nyumbani kwao wanajua mwanamke wake ni mmoja?
Hilo la kukataza watu kuoa wanawake wengi officially lina impacts gani kwa jamii?
Kama kweli wewe ni genius nijibu maswali yafuatayo kwa ufasaha vinginevyo bora ufute hilo jina kwenye ID yako.
1.Ni sababu zipi hufanya majority ya wanaume kuchepuka na ilhali wameshaoa tayari?
2.Je unajua kwamba wanawake waliumbwa tofauti na sisi kibaiolojia yaani wenyewe wana mzunguko wa hedhi ila wanaume hatuna excuse yoyote kwa mfano mwanaume hata akiwa amelazwa hospitali na mguu umening'inizwa kwa vyuma akiona uchi tu mashine inasimama na akipewa atatafuta staili yoyote ili mradi apewe apenyeze ila hawezi kukataa kamwe.
Sasa swali linakuja je zile siku za wiki ambazo to anakuwa kwenye hedhi na mwanaume amepata hisia na anahitaji lazima apate inatakiwa afanyeje au aende wapi ili kujitosheleza kimwili?
3.Je unajua kwamba hata wanyama wa kiume huwa hawatosheki na mwanamke mmoja kwa sababu za kimaumbile,je nikisema hawa wanyama wamekuzidi maarifa nitakuwa nakosea?
Sasa kama wanawake ni tofauti kwanini wake za watu wanachepuka kwasababu hao wasio jua kujizuia wanashindwa kutulizwa humo ndani?
 
Back
Top Bottom