Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

inawezekana mwanamke alimsitili ili kuokoa jahazi la aaibu lisimpate. ila mambo ya wana ndoa ni vyema wayamalize wenyewe
 
Mie ID yako imenikumbusha hii nyimbo ya kid ink tu


 
Mwanamke mmoja huko Benin amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291


ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293


utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue
View attachment 1364295


kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.

Ndo ngumu lakn waaungwana...pole yake..bora hata angezingua mmoja ila cyo wote watatu
 
Mwanamke ni kiumbe kibaya Sana

Najaribu kuvaa viatu vya Mwanaume Mwenzangu na havinitoshi (empathy)

How dare are you kumfanyia mtu kitu kama hicho ? Watoto watatu kwamba Jamaa sio mzima Ama

Eti ninyi wanawake Mnasukumwa na Nini hasa mpaka Mnaweza kumfanyia mtu hivyo ??

It's far better ukitombeshe kuliko huo ushetani

Hapo bado huku mtaani watu wanalea visivyo vyao Mamayee
 
Tatizo Ni kuwa hiyo njia alioitumia haijatatua tatizo bado,,ingawa kweli inaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Back
Top Bottom