Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

Mwanamke mmoja huko Benin amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291

ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293

utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue
View attachment 1364295

kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.
Ni taarifa njema, naamini kuna watu watajifunza kupitia habari hii. Lakini umetumia neno kali sana kwa kumwita binadamu mwenzako Shetani, kwa maana kwenye ndoa za watu kuna mengi. Hebu jiulize maswali haya mawili?
1. Ni sababu gani iliyomfanya mwanamke kuzaa nje ya ndoa?
2. Kipi chanzo cha mwanaume kutaka kuihamisha familia yake nchini Canada?

NOTE: Kila Kisa au Jambo linasababu nyuma ya Pazia. Fikisha ujumbe but don't make a judgement.
 
Mwanamke mmoja huko Benin amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
View attachment 1364291

Ulipohitaji Vipimo vya DNA kwa watoto wake hao watatu kwa kuhofia kuwa huenda alikuwa akitaka kusafirisha watu wasiokuwa na uhusiano naye kinyume cha sheria (human trafficking). Vipimo vilikuja na majibu kuwa bwana huyo siyo baba halali wa watoto wote watatu hivyo ufanyike
View attachment 1364293

Utaratibu mwingine wa kupata Visa na taratibu zingine za kisheria ili aruhusiwe kuingia Canada. Alirudi nyumbani kumhoji mke wake juu ya baba halali wa watoto hao na kwanini amekuwa msaliti kwa kiwango cha hatari kiasi hicho lakini hakupata majibu ya kueleweka Jamaa akaamua amuue

View attachment 1364295

Kabisa lakini watu wakawahi kuokoa uhai wa mwadada huyo huku meno manne yakiwa yameng'olewa kwa ngumi nzito nzito alizosukumiwa. Bado taarifa zaidi hazijatolewa kuhusu kukamatwa kwa mwanaume huyo lakini hali ya mwanamke ambaye ni msaliti ndiyo hiyo katika picha.
Kazi nzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo bongo hio kitu kuzalishiana ndio vimeenea, usije kujaribu kwenda kupima DNA kama unaishi bongo na family yako, Wanawake akili zao wanazifahamu wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahhaa [emoji23] [emoji23]
Mapenzi yana msukumo wa ajabu halafu pia usaliti uliovuka mipaka ni hatari kwa watu wote; mwanamke na mwanamme. Ona sasa huyo dada amebaki na mapengo mapana kama mageti ya kuingilia mlimani city. Pole yake ila ni sehemu ya mavuno ya alichokipanda na kupalilia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu namba 1 ni kuwa hawa viumbe wanawake wengi wao ni tamaa za kishetani, huwezi kumzakishia mtu watoto watatu alaf akakuacha iviivi, haiwezekani.

Back
Top Bottom